Search results

  1. Forest Hill

    Kumbukizi: Mahojiano kati ya Alie kua mkurugenzi wa MCL TIDO Mhando Na Jaji Warioba Kuhusu Katiba Mpya, Muungano

    Salaam,mahojiano haya yalifanyika mwaka 2013 na kuchapishwa Na magazeti yote Yaliyo chini ya MCL,Gazeti la jumamosi June 8 mwaka 2013,, Swali: Kwa nini mlipendekeza Serikali tatu? Warioba: Upande wa Zanzibar wapo waliotaka Serikali mbili, Serikali ya mkataba na wengine kutaka Serikali tatu...
  2. Forest Hill

    20 Greatest Tanzanians Of All Time

    List Yangu ya Watanzania Bora ishirini waliowahi kuishi na ambao wapo hai,ambao kwa kupitia vipaji vyao au Elimu wametoa mchango chanya Kwa Jamii ya Tanzania,. kumbuka haya ni maoni binafsi tu 1: Julius Kambarage Nyerere 2:Shabban Robert. 3:Reginald Mengi 4:Mbwana Samatta 5:King Majuto 6...
  3. Forest Hill

    Kendrick Lamar (Kidoti) Alijichanganya Kumdiss J Cole. 7 minutes Drill Bodied Kendrick

    Week Mbili zilizopita ndugu yetu intelligence Business man kwenye jukwaa hili alileta Diss ya Kendrick Lamar kwa Drake Na J Cole,katika nyimbo ya future na metro Boomin like that,, Wapenzi wa rap walikua na maswali Nani ataanza ku respond Kati ya Drake Na J cole?? Kumbuka J Cole aliwahi kusema...
  4. Forest Hill

    Nimeangalia Match ya EPL Bure bila DSTV kwa kutumia kifaa hiki..

    Kwa wapenzi wa soka Weekend tukiwa hatuna mishe tunajifungia ndani tunaangalia mpira au tunasogea vibanda umiza kupata burudani,Mimi binafsi huwa naangalia mechi zote za jumamosi na jumapili,you may call me fanatic but football ndio ulevi wangu, DStv vifurushi daily vinapanda kwa uchumi ulivyo...
  5. Forest Hill

    Je kujenga chumba Kama hiki inagharimu kiasi gani(makadirio)

    Kichwa Cha habari kinajieleza ndugu zangu,hapo gharama inaweza kufika kiasi gani??
  6. Forest Hill

    Wapenzi wa Gangster movies tukutane hapa

    Hello ndugu zangu wapenzi wa Gangster movies ni movie gani ya mahadhi haya unaipenda??kwanini??quote gani unaipenda??Mimi Naipenda Sana The Godfather haswa scene ambayo Don Corleone anachezea paka
  7. Forest Hill

    Wakongwe wa Rap Bongo anayekumbuka nyimbo hii inaitwaje anisaidie jina niitafute

    Habari zenu wakuu, Kuna nyimbo nakumbuka mistari yake na kisa chake, sauti ya Saigon pia IPO kwenye hiyo ngoma,kisa cha nyimbo ni washikaji maisha magumu hawana pesa za mavazi wala maradhi, wanapanga wakavamie nyumbani kwa muhindi tajiri wachukue pesa wamalize shida zao,,katika mpango wao...
  8. Forest Hill

    Je, ni sawa kisheria kwa mwanamuziki kumtaja mtu au brand kwenye nyimbo yake bila ridhaa yake?

    Habari zenu ndugu zangu, hii thread sio kwaajili ya kejeli au kusutana, nauliza nataka kujua kwa wenye ujuzi wa Mambo haya, je ni sawa mwanamuziki kumtaja mtu au brand fulani kwenye nyimbo yake bila ridhaa ya mtu huyo au kampuni husika? Vipi kuhusu kuipa nyimbo jina la mtu au brand fulani...
  9. Forest Hill

    Tukumbushane movies za zamani za Nyumbani

    Habari za Asubuhi movie lovers hope mmeamka Salama..back to the bussines,movie gani za zamani unazopenda au kukumbuka Sana?? Kiasi kwamba ukiiona tena unapatwa Na nostalgia??Mimi nitataje chache. 1:Kifo Haramu 2:Shamba Kubwa 3:Nsyuka 4:Gubu La wifi 5:Chiku na Kapili 6:Shumileta Nawe shusha zako
  10. Forest Hill

    Yanga ikianza na chama hili,Simba hatoboi

    Habari ndugu zangu,,Mimi Kama shabiki wa mpira,mwananchi..Kama professor ataanza na kikosi hiki,,Simba Sc watapata tabu Sana... 1: diara 2:djuma 3: Bryson 4:Mwamnyeto au dick Job 5:Bangala.. 6:Mukoko 7:Mukoko 8:Aucho 9:Mayele 10:feisal salum "fei Toto" MAESTRO 11: SAIDO Nasubiri shabiki wa...
  11. Forest Hill

    Kuwapa watoto majina ya kigeni Kizungu/Kiarabu ndio usasa au kutojitambua?

    Habari salamu sio ndefu nimechefukwa mtoto wa dada yangu kapewa jina Moana, jina la kikatuni cha Disney nikapata maswali sana, kwanini hadi leo tunaendelea kushikilia majina ya wageni? Majina mazuri ya Kiswahili, lugha za asili yameisha au ndio tunayaona ya kizamani na hayafai kitu? Kuna...
  12. Forest Hill

    Historia ya muziki wa kizazi kipya na chimbuko la neno Bongo Fleva

    Disclaimer:imesimuliwa na Martin Izze Chimbuko la muziki wa kizazi kipya tanzania na maana halisi neno Bongo Flava (SEHEMU YA KWANZA) Moja kati ya mambo niyapendayo mno maishani ni muziki.Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa muziki si tu ule wa nje lakini kwa karibu ule wa nyumbani hasa muziki...
  13. Forest Hill

    Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

    Nakumbuka enzi hizo wanatajwa walikua warembo wanaosumbua mjini,wapo wapi siku hizi??? Tukumbushane na lyrics hapa chini... Yaani shwari hamna shari Mi na mabinti damdam, kweli kweli Thamani zipo wazi mwenye macho aone enhh! Yaani shwari hamna shari Mi na mabinti damdam, kweli kweli Sababu zipo...
  14. Forest Hill

    Nini kitatokea siku ya mwisho kama binadamu wengine watakua nje ya dunia?

    Habari zenu nyote, Bila shaka wote mmesikia, mmeona juhudi za binadamu katika harakati za kutafuta sayari nyingine tofauti na dunia ambayo ina hali kama dunia yetu, chombo cha Marekani kishafika mars, swali langu kwa wajuzi wa masuala ya dini, siku ya mwisho itakuaje kama binadamu wengine...
  15. Forest Hill

    Zawadi gani nzuri ushawahi kutoa au kupokea?

    Habari zenu ndugu zangu, hopefully mpo salama,heri ya Christmass. Kama tunavyofahamu binadamu wote tunapenda kupewa zawadi kutoka kwa wapendwa wetu,zawadi zinafanya mtu ujisikie Bora Sana, mwenye kupendwa na kujaliwa,katika msimu huu wa sikuu labda umepokea zawadi au kipindi chochote kile Cha...
  16. Forest Hill

    Mechi ya Taifa stars vs Tunisia tarehe 9/11 simba na yanga tarehe 7/11

    Ndugu zangu kama kichwa kinavyojieleza,, Tff wapo serious au mimi ndio sijaelewa?? Mechi ya Tunisia na taifa stars imepishana siku mbili Kati ya timu zenu kongwe,, sababu ilikua nini kuhairisha mechi in the first place??
  17. Forest Hill

    Nilivyo Nusurika Kuliwa Tigo Kisa Mke Wa MTU...

    Habari zenu waungwana,bila Shaka mpo salama Poleni Na Heka Heka za sikukuu... Kuna story nataka kushare nanyi,ni tukio la kweli lilinitokea tarehe 28/12/2015.....Mkasa unaanza nipo Ubongo ndani ya Bus la Abood naenda Morogoro kwenye Mambo ya Utafutaji,,.Seat kama ya 3 Mbele yangu kakaa binti...
  18. Forest Hill

    Haya ndiyo ya kufanya kama una uso wenye mafuta

    Natumai wote ni bukheri wa afya mimi pia nipo okay kuna mdau kwenye post moja kauliza atumie nini,ana uso wenye Mafuta mengi oily face mimi pia nina tatizo kama Hilo. Lakini now sio tatizo tena najua kuhudumia ngozi yangu daily iwe healthy au mnataka na kapicha ka ushaidi mimi ni mmoja ya...
  19. Forest Hill

    Could you marry the last person you slept with..??

    Kwa Mimi hapana..Girl hakua mtundu,sikua na feeling nae..niliona kama nimepoteza muda and my money...what about you Guys..
  20. Forest Hill

    Brian Simba Mdee Music Umepotea..

    Kama mnamsoma jamaa alianza vizuri Sana,wengi tukasema Nasty c anakuja kupotezwa...Flow kali..,Mistari mikali Bilingual Beast kumzidi wakazi..wote tuka Bet kua Young nigga is goin to Rep Tanzania..Mix tape yake ya Masaki theory ilisheeni vitu vya maana Sana..but now mwana he's sign up Mdee Music...
Back
Top Bottom