Search results

  1. Pascal Ndege

    Kanuni: Ili kukabiliana na upungufu wa fedha za kigeni lazima Shilingi ishuke thamani

    Katika kanuni za uchumi kawaida nyumbani ni lazima kuongeza mapato na uzalishaji. Kwa level ya nchi katika kukabiliana hali mbaya ya uchumi nchi hufanya mambo kadhaa kuhakikisha uchumi unakuwa imara. 1. Kuongeza export 2. kununua dhahabu 3. kupunguza matumizi ya serikali. 4. Mikopo ya hela za...
  2. Pascal Ndege

    Selfie kwenye Miradi: Mimi nimechoka kupata taarifa miradi kila siku tunatumiwa video na ahadi ya kukamilika miaka inasonga mimi nimechoka sijui nyie?

    Jana nimeona Train ikipita huko ulaya wakasema ni ya kwetu. Inafanyiwa majaribio. Lakini hata bwawa la mwalimu nyerere imefikia tujumlishe ahadi na promise na idadi ya viongozi waliyoshiriki kupiga picha kwenye Miradi. Yaani utasikia hili kesho lile lakini mradi hufanyikazi. Ni bora wanyamazee...
  3. Pascal Ndege

    Kushika mimba Tanzania isiwe hofu kupoteza ya maisha.

    Kuna Dada mmoja amefariki wakati wa kujifungua lakini Sasa naona kama imekuwa ni kawaida Sasa. Vifo vya kinamama vimezidi sana inafikia hatua watu wanne au watatu wa karibu. Juzi Kati nimeona hadi mwandishi wa habari pia. Hebu tuanze campaign ya kuhusu uzazi salama. Wadau wa Afya tuliangalie...
  4. Pascal Ndege

    Tabia za Wapalestina za mauaji, utekaji, ubakaji wa mahujaji zilichochea mpango wa kuundwa taifa la Israel 1948

    Toka Dunia inaumbwa mashariki ya Kati imekuwa na vita. Lakini kwa palestina na Israel baada ya karne ya Sabin utawala wa kiyahudi uliangushwa na warumi walitawala na Ukristo na uyahudi ukashamili na kukua na kusambaa. Miaka 700 baadae uislam ukashamili na vita ikapigwa sana na sheria ngumu...
  5. Pascal Ndege

    Tanesco Haina Hela: Kama call center ya Tanesco ya million 30 iligharimu Tanesco billion 6.1,trillion 2 kwenye miundombinu guzo za zege.

    Kuna Mikataba mingi ambayo Tanesco imeingia toka alipo teuliwa Maharage Chande haikulenga kabisa uzalishaji wa umeme. Ililenga matumizi na matanuzi na miundombinu. Kwahiyo kutuaminisha kuwa mabwawa hayana maji kwa Mvua hizi hakuna mtu atawaamini. Mimi kwa miaka mitatu nimemfuatilia sana vyombo...
  6. Pascal Ndege

    CCM inavunja sheria ya vyama vya siasa ibara ya 6(2) kuhusu umri mtu wa kuwa mwanachma wa chama cha siasa.

    Leo nimeamka nimekuta mitandao ijmejaa picha ya chipukizi wa CCM je ni wameamua kuvuluga sheria au ni ubabe ubabe Chadema nao Waanzishe chipkizi? Chipkizi wanasema si wanachama. Ni kigezo Dani kinatumika kuwachambua watoto na kwasajiri katika harakati za kisiasa. Kama siyo mbona Sasa...
  7. Pascal Ndege

    Mwanamke anakuzimia simu mara tatu bado anakwambia hataki kukupoteza

    Katika harakati za maisha imekuwa na ukaribu na mwanasheria mmoja smart sana kijana. Bahati nzuri ana girl friend wake Tupo office Moja. Yule girlfriend wake ni mwanamke anataka pesa. Ukiwa na pesa tu unaondoka nae. Huyu wanasheria mdogo wangu alikuwa analalamika Tabia za kushangaza za mpenzi...
  8. Pascal Ndege

    BRELA ni kero kuanzia kufungua kampuni mpaka kwenye jina la biashara

    Kufungua kampuni ilikuwa kero miaka ya nyuma lakini naona kero imerudi licha ya kuwa kuna mfumo rahisi kabisa wa kusajili kampuni. Yaani business name inachukua hadi mwezi mmoja kama umejaza kila kitu sawa. Kuna Tabia ukikosea tu review inakuwa haraka kabisa na unaambiwa kurekebisha, lakini...
  9. Pascal Ndege

    BRT Kimara Terminal: Abiria walala chini kuzuia basi lisiondoke tupu

    Kama kawaida kadhia kubwa ya usafiri imeleta mtafaruku baada Magari kugeuza tupu na kuacha abiria. Picha imemfuma abiria aliyelala chini kuzuia Gari zisipite.
  10. Pascal Ndege

    Plato alisema Demokrasia itafaa kwa wananchi wasomi tu; kugombea na kupiga kura si kila mtu anapaswa kupiga kura

    Hivi elimu ya ampiga kura inatosha kabisa kumwezesha mtu kupigiwa kura? Mimi naona kama waAfrika wengi demokrasia ipo lakini wananchi Hawana uelewa wa serikali na kwanini wanachagua viongozi. Wewe unaona je? Plato alisema huwezi kachagua mtu yoyote tu kwenda kuamua kuhusu Maisha ya watu. Labda...
  11. Pascal Ndege

    Ni haki viongozi wa dini kuwa Hukumu mashoga na waliyobadili jinsia au wasubiri moto mbinguni?

    Nimeona watu wengi wakishutumu msimamo ya Pope Francis kwa kusema yeye ni nani mpaka awahukumu mashoga. Akilejea katika biblia mfano wa boriti na ule wa kahaba. Pope Francis aliwapa ruksa waliyobadili jinsia kubatizwa. Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
  12. Pascal Ndege

    Mwanaume: Pesa yoyote utakayopewa na mwanamke anayekupenda asiye na kazi imetoa kwa mwanaume asiyempenda

    Kijana wanawake ni viumbe ghari sana mwanamke asikwambie kuwa yeye ni wa kishua pesa zipo tu za kukuhonga. Wengi wa wanawake ambao wanahonga vijana wa kiume wanakuwa na waume za watu. Usiku Mwema. Mwanamke akikupa hela ambayo inamaelezo mrefu ujue upo sentimeta kadhaa kupata ukimwi au magonjwa...
  13. Pascal Ndege

    Vijana vibibi havina shukurani: Akikutaka aweke milion 10 mezani ndio mahusiano yaanze

    Kuna tabia mbaya za Wanawake ambopo hutumia pesa kumpata kijana ambae yupo na mke au mpenzi wake kwa kumuahidi pesa na vitu vya thamani. Huyu bibi akiishafanikiwa kumpata kijana anambadilikia na Kuanza kutaka mahitaji Sawa na wasichana wengine. Hivyo vijana wanakuwa wanashindwa Maisha ya...
  14. Pascal Ndege

    Chondechonde: Rais Samia tuondolee Nape kwenye hii Wizara, hana uelewa katika Technologia anadhalilisha Taifa

    Mama shikamoo! Kwanza pole na majukumu mengi ya kitaifa. Mimi ni mdau mkubwa sana kwenye technology mwenye weledi mapana sana. Hutuba nyingi sana za waziri zinaonyesha ana uwelewa mdogo sana katika Technologia hivyo kama kauli za Tunadhalilika sana. Mfano VPN ni njia pekee katika cyber...
  15. Pascal Ndege

    Tatizo la akili na stroke kwenye jamii utafiti ufanyike kwenye vyakula kutoka nje

    Ndugu zangu Tanzania tumekuwa na changamoto ya magonjwa ya akili na stroke kwa kiwango ambacho hakielezeki. Tunaomba utafiti ufanyike wa vyakula kutoka nje labda Kuna sumu au Kuna chemical kutoka nje.
  16. Pascal Ndege

    Je, mwananchi unajua maana halisi ya kodi ya mapato?

    Kodi ya mapato au kwa kizungu income tax ni kodi unayolipa katika Faida ya biashara yako. Je Faida ni ipi kwenye biashara yako? Faida ni yale mapato ambayo unapata baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji. Makadirilio ya kodi ya mapato ni nini? Makadilio ni makisio ya kodi kabla ya Kuanza...
  17. Pascal Ndege

    Hekima: Usitoe sana sadaka bila kujibakiza, tumia akili sana, uliza moyo wako, angalia watoto na familia, angalia nguo na viatu vyako ndio utoe sadaka

    Hapo zamani tulikuwa na wazungu walitufundisha kuwa Mungu huwasaidia watu wanaojisaidia wenyewe. Hawa wazungu walimaanisha ukifanyakazi kwa bidii na kumtumainia Mungu ndio utafanikiwa. Nimekutana na waumini flani wanatoa sadaka hadi wanakosa nauli ya kurudi nyumbani. Niliwahi kuona mke wa mtu...
  18. Pascal Ndege

    Utafiti: Vijana wengi wanaotumia muda mwingi sana na simu kupost picha zao na memez status hawajatulia kwenye mahusiano

    Jarida Moja nchini Korea ya kusini imefanya utafiti vijana wengi sana ambao Wapo active kwenye mitandao ya kijamii wanajiuhusisha na mapenzi zaidi ya wapenzi wawili. Jarida hilo limeenda mbali hadi kukagua Maisha binafsi ya wanasiasa vijana, wanaharakati, na watu mbali mbali. Wakagundua...
  19. Pascal Ndege

    Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

    Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako. Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo...
  20. Pascal Ndege

    Bandari ni mali ya umma, wananchi tuna haki ya kuhoji

    Kwenye group Moja hivi member mmoja amenihoji naongea sana kuhusu Bandari kwani ni yangu? Kwa kweli nimechukia sana. Nina hasira sana naomba kushusha hasira zangu hapa. Jamani kitu ambacho hamjui Bandari ni mali ya umma maana yake umma ni Mimi na wewe ndio umma. Kwahiyo Tukihoji Maslahi ya...
Back
Top Bottom