Mwanamke anakuzimia simu mara tatu bado anakwambia hataki kukupoteza

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Katika harakati za maisha imekuwa na ukaribu na mwanasheria mmoja smart sana kijana. Bahati nzuri ana girl friend wake Tupo office Moja.

Yule girlfriend wake ni mwanamke anataka pesa. Ukiwa na pesa tu unaondoka nae. Huyu wanasheria mdogo wangu alikuwa analalamika Tabia za kushangaza za mpenzi wake. Sikumoja akamzimia simu Jamaa Tupo wote siku ya pili tena. Nikamwambia hapo huna mchumba hebu mtikise uone.

Jamaa akapunguza conversation sana. Sasa mwamanke hatulii anambembeleza sana Jamaa.
Anasema hataki kumpoteza.

Wadau hivi kama mtu hataki kukupoteza ndio anakufanyia haya ya kuzima simu hadi masaa 6 siku nyingine masaa matatu mimi nikiwepo. Bila sababu za msingi?
 
Back
Top Bottom