Kyokola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 1,402
- 1,894
kinaitwa LULU hicho kifaa.Acha huyo , kuna kifaa kipo CITIZEN TV ya kenya kina macho madogo yaliyozama ndani na kinapenda kuvaa hushungi , anapenda sana kutangaa taarifa ya habari ya kiswahili alasiri ni balaaaaaa