Zuhura Yunus BBC Swahili dira ya dunia

Zuhura Yunus BBC Swahili dira ya dunia

Yaani huyu bint si mchezo mimi huwa simsikilizi siku hizi manake nikisikia tu sauti yake mizuka inaanza kupanda, ama kwel bint kajaaliwa na mungu huyu....
 
Yaani huyu bint si mchezo mimi huwa simsikilizi siku hizi manake nikisikia tu sauti yake mizuka inaanza kupanda, ama kwel bint kajaaliwa na mungu huyu....

hata akilini kwako ulishamvua nguo
 
Yaani huyu bint si mchezo mimi huwa simsikilizi siku hizi manake nikisikia tu sauti yake mizuka inaanza kupanda, ama kwel bint kajaaliwa na mungu huyu....

my childhood friend.....alikuwa anaitwa zuhura abdala,baba ake alikuwa kanali wa jwtz
 
Na kabla ya BBC alikuwa Mwananchi Communications Ltd.

Ameanzia radio Uhuru kwenye kipindi cha muziki akitangaza sambamba na Paul James Swea. Baadae akaenda kusoma Bimingham University na mazoezi yako katika Journalism alikuwa nafanyia BBC. Then akabakia hapo hapo hakutaka kurudi tena TZ. Bila shaka nimekuongezea kitu hapo.
 
Hao wote Mkuu ni kutoka Mombasa, Kenya.
Mkuu tudhibitishie kama kweli wanatoka Mombasa, au hujui hao unaowasemea wanaweza kuwa member wa jf ukaumbuliwa waziwazi.
Zuhura Yunus ni Mtanzania. amesoma Jangwani Secondary Form 1 mpaka Form 6 (PCB). Baba yake Kanal Yunus Abdallah alikuwa Mwenyekiti wa FAT(sasa TFF) kwenye miaka ya 80.
 
mimi mwanadada wa mashariki mix wa swahili magic channel 158 DSTV ananiacha hoi kabisa.
 
lulu_hassan-e1312973852289.jpg

Anaitwa Lulu Hassan

Hapa chini akiwa na mumuwe na mtoto,hayuko single
lulu.jpg

Ama Kwa Hakika Hujakosea! Namkubali Sana Lulu Anajua Kazi Yake Na Anajiamini Huwa Nikimiss Kipindi Cku Yupo Studio Naumia Sana.. Kwa Ujumla Watangazaji Wa Citizen Wapo Vizuri Wametupita Tz Kwa Kila Kitu
 
hata mimi huwa nampenda kweli huyu dada anatangaza vizuri.
 
Aisee,we mleta uzi sijui ulikuwa unafikiria nini.
Huyu Mdada mzuri kweli,na ukimuangalia vizuri ni kwamba kama amechanganya na Alshabab Family vile.
Usomali upo kwa mbali,siunajua watu wa mombasa walivyochanganya.

Mie alinicheckesha sana siku ile ya Kuadhimisha siku ya Bruce Lee kwenye BBC Swahili,asiee alinikunjia makareti ya kufa mtu kama vile anasonga ugali hewani.

shrotly,ni mtangazaji mzuri,vocally,surally,umbolly,kimolly,napia anavutially
 
Baadhi yetu tunawahi kuangalia Dir ya Dunia saa 3 usiku kumwona huyu mrembo, jana kama zali vile akawepo Zuhura Yunus.
 
Acha huyo , kuna kifaa kipo CITIZEN TV ya kenya kina macho madogo yaliyozama ndani na kinapenda kuvaa hushungi , anapenda sana kutangaa taarifa ya habari ya kiswahili alasiri ni balaaaaaa
Wanaume wa kibongo kwa kusifia wanawake hawajambo lakini kazi duh!!!
 
Ama Kwa Hakika Hujakosea! Namkubali Sana Lulu Anajua Kazi Yake Na Anajiamini Huwa Nikimiss Kipindi Cku Yupo Studio Naumia Sana.. Kwa Ujumla Watangazaji Wa Citizen Wapo Vizuri Wametupita Tz Kwa Kila Kitu
Utani woote,mtambo naukubali sana wa Citizen ni MWANAKHAMIS HAMAD
Akifuatiwa na KANZE LENNA.
 
Ah hawa wetu akuna kabisa wamepoozaaaa! Yaana zuhura yunus hata kama sitaona picha yake ila anasoma /simulia habar flan nataman asimalize
 
"Mbona mnaandikia mate"? Kwa kifupi...
 
Last edited by a moderator:
mbona watanfazaji wa tv za tanzania hata kama ni waislam hawavai ushungi au maadili huku TZ hayaruhusu? Nimewahi kumuona Fatma Nyangasa wa ITV akiwa nje anafuatilia habari anavaa ushungi lakini studio havai au ni uamuzi wao?
 
mfumo kristuuu
 
Back
Top Bottom