MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,595
- 41,613
Ha!ha! mbona kama kachelewa hivi
jana tu ndio kaandika hivyo
Ha!ha! mbona kama kachelewa hivi
Acha huyo , kuna kifaa kipo CITIZEN TV ya kenya kina macho madogo yaliyozama ndani na kinapenda kuvaa hushungi , anapenda sana kutangaa taarifa ya habari ya kiswahili alasiri ni balaaaaaa
Jamaa yangu salama lakini?Kama hadi wewe umemkubali basi hongera zake.
mi nadhani hata kwa vyeo huyu ni mdogo kuliko kikekeHivi ni dhambi kusifia mke wa mtu? I hope salim kikeke nae hajawowa manake mmmh
sikufahamu hiloShe is married by her work mate salim kikeke
Picha ya juu naona ndo alikuwa anajiandaa kusoma taarifa ya habari ya alasiri
Hapana mkuu nisamehe bure ni mambo ya dunia na kughafilika tu
She is married by her work mate salim kikeke
Pole sana ndugu yangu, kazi yako ya kusafiri safiri kutokana na kubadilisha hali ya hewa mara kwa mara, mafua kitu cha kawaida.Salama kabisa ingawaje mafua yananisumbua kidogo