Hawa watangazaji wa BBC wanajua bwana, na tena wana sauti nzuri ni hatari. Kuna mmoja anaitwa Suluma Kassim yaani akiwa anareport kitu hautotamani kiishe. Big up sana BBC na hongereni kwa kukitangaza kiswahili.
Waislam ukiwakuta kijiweni wanakwambia wazungu ni wadini sana.
mfumo kristo.
Hawataki habari za bbc kisa ni wazungu,sasa watangazaji kiasi kikibwa waislamu lakini bado tu!
Basi waambieni waarabu wenu wa IRAN WALETE IDHAA YA KISWAHILI ili wakristo wakae kimya
Hawa watangazaji wa BBC wanajua bwana, na tena wana sauti nzuri ni hatari. Kuna mmoja anaitwa Suluma Kassim yaani akiwa anareport kitu hautotamani kiishe. Big up sana BBC na hongereni kwa kukitangaza kiswahili.
Napata shaka hawa watangazi wa BBC swahili wa sasa wakifikia ukomo wa utangazaji (karibia ya wote ni watu wazima) Itakujwaje?watatokea watangazaji wengine wazuri kama hawa kweli?
Napata shaka hawa watangazi wa BBC swahili wa sasa wakifikia ukomo wa utangazaji (karibia ya wote ni watu wazima) Itakujwaje?watatokea watangazaji wengine wazuri kama hawa kweli?
nifah wamesikia maombi yako
Salim Kikeke shared a link .
4 hours ago ·
Nafasi ya kazi BBC Tanzania.
BBC Dar es Salaam inatafuta
mwandishi wa habari mwenye uwezo
wa kuandika na kuzungumza kiufasaha
- Kiswahili na Kiingereza 'Bilingual
Reporter'.
Maelezo zaidi na fomu ya maombi
bonyeza link hii:
http://careerssearch.bbc.co.uk/jobs/
job/Bilingual-Reporter-Dar-es-Salaa
m/9959?ocid=socialflow_facebook
Hawa watangazaji wa BBC wanajua bwana, na tena wana sauti nzuri ni hatari. Kuna mmoja anaitwa Suluma Kassim yaani akiwa anareport kitu hautotamani kiishe. Big up sana BBC na hongereni kwa kukitangaza kiswahili.
Huyo Suluma atakuwa anatangaza kwenye radio labda
mbona watanfazaji wa tv za tanzania hata kama ni waislam hawavai ushungi au maadili huku TZ hayaruhusu? Nimewahi kumuona Fatma Nyangasa wa ITV akiwa nje anafuatilia habari anavaa ushungi lakini studio havai au ni uvamuzi wao?
sauti nani mkali
1.Ummy Khery
2.Regina Mziwanda
3.Suluma Kassimu
4.Zuhura Yunusi
na
5.Zainabu Dinni
Huyu dada ni reporter kwenye BBC Swahili dira ya dunia tv, ambayo huwa wanarusha kuanzia saa tatu usiku kupitia Star TV.
View attachment 182362
View attachment 182363
Mtangazaji wa kwanza Mwanamke BBC Swahili TV Nimependa Sauti yake na utangazaji wake kwenye TV na Redio safi sana. Kwa hakika BBC swahili Hawajakosea kumpa kutangaza kwenye Television mpaka raha.
Namcheki hapa bbc sasa hivi dooh huyu dada hatari sana,sauti mororooo kabisaaa na ule ushungi wake basi Mashalaaah!View attachment 182362