Zuhura Yunus BBC Swahili dira ya dunia

Zuhura Yunus BBC Swahili dira ya dunia

Ki ukweli hata mimi huyu Dada aisee ananivutia sana wakati wa utangazaji wake sasa ni siku ya pili namuona BBC swahili tv sauti nzuri kiswahili fasaha kizurii zaidi anaipenda Machester United.
 
Hivi huyu Zuhura Yunus ni Mtanzania au ni kutoka Mombasa? Na kuna mwingine anaitwa Mariam Omary, nae ni Mtanzania au kutoka Mombasa?
Ni Tanzania na Mombasa pekee unaweza kupata Kiswahili fasaha vile

Zuhura Yunus ni Mtanzania. amesoma Jangwani Secondary Form 1 mpaka Form 6 (PCB). Baba yake Kanal Yunus Abdallah alikuwa Mwenyekiti wa FAT(sasa TFF) kwenye miaka ya 80.
 
Zuhura Yunus ni Mtanzania. amesoma Jangwani Secondary Form 1 mpaka Form 6 (PCB). Baba yake Kanal Yunus Abdallah alikuwa Mwenyekiti wa FAT(sasa TFF) kwenye miaka ya 80.
Bora wewe umetufafanulia vizuri. Kuna mtu hapo juu alishaanza kujipendekeza Kenya. Na tukizubaa kidogo atatuambia Salim Kikeke nae mkenya!
 
Acha huyo , kuna kifaa kipo CITIZEN TV ya kenya kina macho madogo yaliyozama ndani na kinapenda kuvaa hushungi , anapenda sana kutangaa taarifa ya habari ya kiswahili alasiri ni balaaaaaa

ngoja badae niwekee picha yake nikate mtima wako kwa siku ya leo.
 
Kwa wewe mwanamke si dhambi kumsifu mwaname wa kiislamu al muhim awe hajafikisha wake wa 4
 
Back
Top Bottom