Zuchu ana nyota kali sana (Female version of Diamond)

Tecno Own The Stage kule Nigeria si alipitwa na Nandy??? Au nyota ilikuwa bado kuwaka?Muziki wa Afrika una utimu..ukiwa WCB hata Kingwendu akitoa ngoma views 4m
Hapa hatuongelei views, tunaongelea hivyo vitu vitatu above ebooooooh mxieeeew
 
Ili msanii uwe superstar kuna vitu vitatu vya muhimu kuwa navyo.

1. Kipaji
2. Nyota
3. Connection

Ukikosa vyote basi walau uwe na viwili kati ya hivyo na kitu Nyota usikikose.

Msanii mpya kabisa lakini aliyeweza kupenya kwenye mioyo ya kila mtanzania hapa namzungumzia Zuchu yeye amejaliwa vyote vitatu yani nyota, connection na kipaji.
Hakuna ubishi Zuchu ndio msanii namba moja wa kike kwa sasa hapa bongo.

Na moja ya sababu ya kuteka industry ya muziki ni kujaliwa nyota kali. Nyota ya Zuchu inataka ifanane na ya kiongozi wake Diamond Platnumz.

Kuna vitu tutaendelea kuvishuhudia kutoka kwake na vitatushangaza. Tutabaki tunajiuliza kwa nini yeye lakini tusipate majibu, ndio namna nyota nzuri zinavyotokea.

Zuchu kama Zuchu ni supastaa. View attachment 1503990View attachment 1503991
Ana tako kama la niki minaj?
 
Punguza mahaba mzee, kama unafanya kwa promo ni sawa, lakini kama unajaribu kutuelezea uhalisia unakosea sana. Mimi nastream Audiomack, Boomplay na Tidal, baada ya ile EP yake na kelele kibao niliipakua, niliisikiliza mara moja nikafuta.
Hana mtindo maalumu wa muziki anaoimba, haijulikani ni Bongofleva ama taarabu, hana ufundi wa kucheza na sauti anapanda na kushuka bila kufuata taratibu za muziki.
Kamsikilize Jaydee akiamua kuimba, ama Rubby alietajwa hapo juu (kama utasikiliza bila upendeleo utagundua tofauti)
Hujui hata unachokisema maskini
 
Sio mahaba ni facts..

Tangia Zuchu katoka ni msanii gani wa kike aliyempita kwa kuwa streamed kwenye online platforms ?

Je nimekosea kusema ndiye hottest female artist kwa kutumia fact tajwa hapa juu?

Sitaki kushindanisha sauti za waimbaji maana hilo ni subjective lets stick kwenye facts, numbers dont lie..
 
Mkuu mimi ni shabik wa WCB ila nakwambia ukwel dada uyu msanii wety zuwena n wakawaida sana ukimfananisha na watu kama ruby ila kinacho mfanya awe pale ni menegment na promo kubwa aliyo ipata ndan na nje kuptia lebo aliopo

Unaposema ni wa kawaida unatumia vigezo gani?

Kumbuka mtu unayesema anafanyiwa promo ni msanii ambaye ndio kwanza ametoka na anasikika katika media kubwa moja tuu(Wasafi media) , media nyingine zote kubwa hazimchezi at the same time kuna wasanii wa kike nyimbo zao zinapigwa media zote kubwa sasa sijui kati ya Zuchu na wasanii wengine wa kike nani anayefanyiwa the so called promo
 
Hiyo point kubwa Sana akikujibu nitag
 
Mkuu mimi ni shabik wa WCB ila nakwambia ukwel dada uyu msanii wety zuwena n wakawaida sana ukimfananisha na watu kama ruby ila kinacho mfanya awe pale ni menegment na promo kubwa aliyo ipata ndan na nje kuptia lebo aliopo
Wewe ni timu kiba, maana WCB hatunaga mashabiki wa utopolo so chill WCB CHAMA LAO.
 
Mkuu mimi ni shabik wa WCB ila nakwambia ukwel dada uyu msanii wety zuwena n wakawaida sana ukimfananisha na watu kama ruby ila kinacho mfanya awe pale ni menegment na promo kubwa aliyo ipata ndan na nje kuptia lebo aliopo
hata harmonize kilichomfanya awe pale alipo ni wcb management & promo hivo punguza chuki na uchawi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom