Zuchu ana nyota kali sana (Female version of Diamond)

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,521
7,368
Ili msanii uwe superstar kuna vitu vitatu vya muhimu kuwa navyo.

1. Kipaji
2. Nyota
3. Connection

Ukikosa vyote basi walau uwe na viwili kati ya hivyo na kitu Nyota usikikose.

Msanii mpya kabisa lakini aliyeweza kupenya kwenye mioyo ya kila mtanzania hapa namzungumzia Zuchu yeye amejaliwa vyote vitatu yani nyota, connection na kipaji.
Hakuna ubishi Zuchu ndio msanii namba moja wa kike kwa sasa hapa bongo.

Na moja ya sababu ya kuteka industry ya muziki ni kujaliwa nyota kali. Nyota ya Zuchu inataka ifanane na ya kiongozi wake Diamond Platnumz.

Kuna vitu tutaendelea kuvishuhudia kutoka kwake na vitatushangaza. Tutabaki tunajiuliza kwa nini yeye lakini tusipate majibu, ndio namna nyota nzuri zinavyotokea.

Zuchu kama Zuchu ni supastaa.
Screenshot_20200711-183107_1594489645400.jpeg
Screenshot_20200711-183124_1594489622454.jpeg
 
Yupo vizuri baada ya kumaliza kuperform mhe Jakaya kikwete akaomba kupiga nae picha.
 
JK mwamba sana kwenye kujichanganya. Mtu wa watu.
Mtu wa pwani kwelikweli. Mtu wa pwani ni rafiki wa kila mtu.

Make no mistake, ukimzingua mtu wa pwani anakushughulikia kweli kweli tena kimya kimya ndiyo maana wengi wanasifika kwamba wanafiki sababu wanajua kuficha hisia zao mbele ya watu.
Mzaramo, Mkwere , Mndengereko anakuumiza huku anakuchekea.
 
Tecno Own The Stage kule Nigeria si alipitwa na Nandy??? Au nyota ilikuwa bado kuwaka?Muziki wa Afrika una utimu..ukiwa WCB hata Kingwendu akitoa ngoma views 4m
Diamond alikataliwa THT look at him now

Nyota nyota nyota uwa hazifichiki.
 
nimehangaika kupata namba yake sasa kilichobak ni kumtafuna tu, na ntamtafuna tu then ntaleta mrejesho
 
JK mwamba sana kwenye kujichanganya. Mtu wa watu.
Mtu wa pwani kwelikweli. Mtu wa pwani ni rafiki wa kila mtu.

Make no mistake, ukimzingua mtu wa pwani anakushughulikia kweli kweli tena kimya kimya ndiyo maana wengi wanasifika kwamba wanafiki sababu wanajua kuficha hisia zao mbele ya watu.
Mzaramo, Mkwere , Mndengereko anakuumiza huku anakuchekea.
Eksept kuwa ni wavivu mno na roho zao ni korosho kweli. Kuishi nao usiwe na chochote.maana kwao hakuna chako Kuna chetu tu.
 
Eksept kuwa ni wavivu mno na roho zao ni korosho kweli. Kuishi nao usiwe na chochote.maana kwao hakuna chako Kuna chetu tu.
Inawezekana lakini ngoja wenyewe waje kupinga hili au wathibitishe kama ni kweli usemacho.
 
She is young and beautiful,she is talented,she is charismatic,she has hunger and urge for success.....
I wish Her much exquisite wishes,aaaamen.

Go Go Go Zuchu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom