ZubedasyoSalaaam zangu kwa Filipo......

ZubedasyoSalaaam zangu kwa Filipo......

Mie tena...hata iwe pilipili manga, pili pili mchuzi au pili pili washa ubuyu nautaka mdogo wangu lol...na Chocs nae ataka.

ubuyu ni kuwa huyu shemeji yenu nyendo zake zimenichosha anapotea miaka akirudi hana maelezo yakueleweka aendapo sipajui
 
Last edited by a moderator:

Ndogo wangu tulia mwaya...asikupe presha mtoto watu....
 
Bi harusi ujue nina noma na wewe aliyesema uanze kuhesabu watalaka wangu ndo kakuponza.
 
naandaa mkataba wa kuanza kazi mara moja ya kumfilisi mtalaka wako,amenitishia na bomu hajui hapa ni jiwe la waashi...
 
ubuyu ni kuwa huyu shemeji yenu nyendo zake zimenichosha anapotea miaka akirudi hana maelezo yakueleweka aendapo sipajui

Baada ya kusema hayo, Mwana wa Adam akaenda zake!

Copy: @zebedayo_mchuzi, nitonye
 
Nilishawahi kuweka wazi atakae mchukua Arabela kwa kumlaghai hataishi ila kama ataamua mwenyewe Arabela kujipeleka kwa mtu sitakuwa na Tatizo kamwe..........nilikuwa mtwara ...nimerudi nina Roho mbaya kama sumu
 
Unatishia nyau!!!!? Mwenzio nitonye yupo hoi kwa penzi la Arabela na mie tupo kwenye utekelezaji wa mpango mkakati wa muda mrefu na bibie Arabela!

Khalagabaho!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom