zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
........
.........Habari zenu wanajamvi.
....................................Nichukue fursa hii kumpa salamu zangu za dhati mh.Filipo,mimi huwa sibabaishi na Maneno wala Majungu nafanya shughuli zangu na kusimamia mambo yangu kadri Mungu anipavo nguvu.Na nikwambie tu kuwa MIMI ni jeshi la mtu mmoja.
Umefunguka kwenye thread yangu kuwa Arabela kanipiga chini,mimi najua Arabela yupo kwangu na usiku wa leo nilikuwa nae ,kama ameniacha na amekuajiri kuwa msemaji wake sawa.Kwa jinsi anavyojiheshimu My wife Arabela hawezi kuukosea heshima mwili wake kwa kutanga tanga kama unavyo mdhania wewe.
Mwanamke mwenye kujipenda na kujiheshimu huwa hachezi na mwili wake,nakuomba umwombe Radhi Arabela kwa kumkosea heshima.Pili hata kama ameamua kuniacha siwezi tingishika kwa lolote wala babaika,Mungu atanipa mwingine,na nitaheshimu Mamuzi yake bila kinyongo.
Nikuombe tu ukiwa kama mtu mzima mwenye akili timamu acha mipasho fanya yako nami nifanye yangu....
..................
.......................
cc Baba v,My Arabela,Filipo,Arusha one,Slave