Zomeazomea ya waasi wa CHADEMA yaanza..

dalili za kuishiwa na uhuni katika siasa. kama mwanasiasa mkomavu hutozomea

Ukomavu wa kisiasa sio kukubali kutumika tuu kama nguo kwamba ikisha chafuka unaivua na kumpa dobi, kama kuvumilia watanganyika tumevumila sana tena sana leo hii ni miaka hamsini ya Uhuru waTanganyika yetu pendwa ila Tazama mafukara waliojaa, angalia shule , hospitali, na huduma nyingine nyingi zote ni mbovu hakika huu ni uvumilivu. Sijui ila kwamtazamo wangu weye unatumika tu wenyewe wamekaa wametulia. Au weye huna ndugu yeyote kijijini na kama unao basi ni wakusingiziwa tu, kwanini ungekuwa nao ungesemea kuhusu madiwani wetu uchwara katiaka hali mashauri nyingi ambao kwangu mimi ndiyo msingi wa Uduni wa Taifa letu la TANGANYIKA. ARUTA CONTINUA MAPAMBANO YANAENDELEA IWE CHADEMA IWE NANI UHURU UNAKUJA.
 
Jana nilikuwa na 'rasta' club,hakuwa na raha kabisa na muda mwingi alikuwa mwenyewe.anajuta mno!
Lazima ajute maana kwa sisi wengine tuliamini maras hawawezi kuwa wasaliti lakini puuu!! Kweli hela mbaya sana
 
Hapo inaonyesha kuwa wenzetu Chadema uvumilivu hakuna kabisa. Iweje mtu ambaye alikuwa kiongozi wako leo umzomee?
Mtu anazomewa au kushangiliwa kutokana na anayoyafanya mkuu, na laiti wangefanikiwa hawa jamaa wangekigawa chama na huo ndiyo ungekuwa mwanzo mbaya wa CDM. Bora nusu shari kuliko shari kamili.
 
Hapo inaonyesha kuwa wenzetu Chadema uvumilivu hakuna kabisa. Iweje mtu ambaye alikuwa kiongozi wako leo umzomee?
Mkuu, enzi hizo zimepita. Leo ukijamba watu watakuambia webwana umepumua kwa kutumia masaburi.. Loh!
 
dalili za kuishiwa na uhuni katika siasa. kama mwanasiasa mkomavu hutozomea
Waliozomea co wanasiasa ni wananchi, au unataka kusema wanaoshiriki ktk siasa siku zote ni wanasiasa peke yao, ukumbuke madiwani waliofukuzwa walikuwa ni viongozi wa watu, kwa sababu wamechaguliwa na wananchi, unafikiri wananch wanapoona watu wao waliowaamini wanafanya fyongo reply yao ni nini? Hayo ni majibu sahihi kwa wasaliti kama hao.
 
Waakazi wa Arusha wanayo haki ya kuwa na hasira na watu waliopewa dhamana ya kuwakilisha ktk manispaa yao, kwa tamaa ya vyeo na fedha wakasalitiwa na wakina Bayo na jamaa zake....!

Kumzomea ndg Bayo ni sehemu ya ujumbe kwake na jamaa zake ya kwamba ktk CDM, jambo muhimu kwanza ni maslahi ya chama..!

Ni muhimu sana kuwajulisha walichotenda co jambo linalopaswa kuvumiliwa na hata kidogo, usaliti ni laana kwa maendeleo...!

Rai kwa Waakazi wa Arusha:
Wakiwaomba radhi wasameheni, maana hata leo mjengoni Mh Ngeleja kwa niaba ya Govt aliomba msamaha kwa Taifa ktk matatizo yaliyotokea,
So kwa wanasiasa kuwaomba radhi wapiga kura ni utamaduni mzuri kwa manufaa ya ujenzi wa society inayowajibika ktk Taifa letu.

Ule Ujinga na Upumbavu wa kulindana wa zama za CCM umekwisha, kwetu Chadema hatufugi wala kulea wazembe, wezi , mafisadi na ma goigoi sisi lengo letu ni maendeleo na si kulindana na kurithishana madaraka km nyie CCM mlioleta umaskini nchi hii
 
mmh, kazi ipo hapo! waangalie tu wasiwatoe macho, kama bado ni riziki watakuwa wameishaelewa somo
hawa sio rizik acha wakome!, huoni anavyojibu eti mkewe na watoto wanajua ana maana (..japo ni kweli labda watanufaika na rushwa aliopewa!..) Sipendi msaliti hata kama ni wa chama nisichokipenda sana.
 
Pro-CDM, bado wachanga kisiasa kila kitu wanachoambiwa na kina Lema wanakubali tu hata kama cha kipuuzi.
Sasa unamzomea mtu kwa nini! siku moja Lema anatawambia kesho muwalete wake zenu wakachukuwe mafunzo BAWACHA watarudi baada ya wiki sijui mtakataa au mtakubali?
 
mi nafikiri the best decision they can make at this time ni kuomba radhi kwa wananci wa arusha kwa yote yaliyotoke, na kwa chama kwa dhati na katika barua zao wakiri udhaifu na makosa yao na kuahidi kuwa watakuwa wanachama watiifu kwa chama na mfumo wake wa uongozi ikiwa watapata fursa nyingine ya kuwa wanachama.

​This is the only best option on their table.
 
Pro-CDM, bado wachanga kisiasa kila kitu wanachoambiwa na kina Lema wanakubali tu hata kama cha kipuuzi.
Sasa unamzomea mtu kwa nini! siku moja Lema anatawambia kesho muwalete wake zenu wakachukuwe mafunzo BAWACHA watarudi baada ya wiki sijui mtakataa au mtakubali?

Kwani waliompopoa mawe Kikwete kule mbeya waliambiwa na Lema? Mkuu, mbona unataka kuwafanya watanzania mazezeta wasiofikiri independently? Unadhani CCM mnaposema zidumu fikra za mwenyekiti (hata kama ni *****) basi watu wote watafuata hayo hayo?

Pro-CDM, bado wachanga kisiasa kila kitu wanachoambiwa na kina Lema wanakubali tu hata kama cha kipuuzi.
Sasa unamzomea mtu kwa nini! siku moja Lema anatawambia kesho muwalete wake zenu wakachukuwe mafunzo BAWACHA watarudi baada ya wiki sijui mtakataa au mtakubali?
Wewe una matege kwenye ubongo, mke wako ndo awe wa kwanza kwenda ziara na Lema kama unapenda. Sisi hatumkubali Lema kwa ajili ya mambo kama hayo ni ile smartness yake ya kugundua mbinu za magamba kama wewe! get it?
 
Pro-CDM, bado wachanga kisiasa kila kitu wanachoambiwa na kina Lema wanakubali tu hata kama cha kipuuzi.
Sasa unamzomea mtu kwa nini! siku moja Lema anatawambia kesho muwalete wake zenu wakachukuwe mafunzo BAWACHA watarudi baada ya wiki sijui mtakataa au mtakubali?
Wewe unamatege kwenye ubongo, We unafikiri watu wanamkubali Lema kwa sababu ya U handsome hapana! ni ile smartness yake. na kama unamtaka kwa madhumuni hayo pia unaweza kumwaprochi! got it?
 
Pro-CDM, bado wachanga kisiasa kila kitu wanachoambiwa na kina Lema wanakubali tu hata kama cha kipuuzi.
Sasa unamzomea mtu kwa nini! siku moja Lema anatawambia kesho muwalete wake zenu wakachukuwe mafunzo BAWACHA watarudi baada ya wiki sijui mtakataa au mtakubali?
Wewe mwenyewe unamtamani sana Lema, sema daaah ndo hvyo tena tayari ana mke wake. Unatamani akuchukue hata kwa usiku mmoja tu! Hakutaki keshaoa bana. Afu punguza kiherehere mjinga wewe!
 
Hapo inaonyesha kuwa wenzetu Chadema uvumilivu hakuna kabisa. Iweje mtu ambaye alikuwa kiongozi wako leo umzomee?

Sisi Tunashangilia mashujaa pekee wasaliti wote ni mwendo wa zomea zome
 
Wewe mwenyewe unamtamani sana Lema, sema daaah ndo hvyo tena tayari ana mke wake. Unatamani akuchukue hata kwa usiku mmoja tu! Hakutaki keshaoa bana. Afu punguza kiherehere mjinga wewe!
umempa za uso
 
Back
Top Bottom