Zomeazomea ya waasi wa CHADEMA yaanza..

Hiyo ndo dawa yao wasaliti.Wao siwaliona wakikomoa chama Dume! Arusha, njombe tunawapenda sana
 
Hapo inaonyesha kuwa wenzetu Chadema uvumilivu hakuna kabisa. Iweje mtu ambaye alikuwa kiongozi wako leo umzomee?

Sisi Tunashangilia mashujaa pekee wasaliti wote ni mwendo wa zomea zome
Aisee hakuna dhambi kubwa kama kumvumilia mjinga. Yan hawa wasaliti tutawazomea mpaka wakome, wameuza utu wao hawana tena thamani mbele ya macho yetu..
 
dalili za kuishiwa na uhuni katika siasa. kama mwanasiasa mkomavu hutozomea
<br /> <br / waliozomea c wanasiasa ni wananchi waliopigika na maisha wanaoish chini ya dola 1 per day, waliowapigia hawa vilaza kura kwa uroho wa pesa vilaza hawa wakawasaliti, mi naona kuzomewa tu haitoshi masela wawavizie uchochoroni wacharaze viboko vya uhakika iwe fundisho kwa akina yuda eskariot wote ukiweno na ww
 
Wewe mwenyewe unamtamani sana Lema, sema daaah ndo hvyo tena tayari ana mke wake. Unatamani akuchukue hata kwa usiku mmoja tu! Hakutaki keshaoa bana. Afu punguza kiherehere mjinga wewe!
Wewe ni balaa watu wakimaliza maandamano tu wanakula sana mzigo! Maandamano ya Meya walikukuta stadi ya vifodi upo hoi Machalii wamefanya mambo yao! Teh teh teh
 
Hapo inaonyesha kuwa wenzetu Chadema uvumilivu hakuna kabisa. Iweje mtu ambaye alikuwa kiongozi wako leo umzomee?
<br />
<br />
kwahyo mkuu unamaana mtu akfanya madudu umsifie eti ksa alkuwa kiongoz wako?
Aaaaa huo utakuwa upoyoyo ule unaofata uongoz wa kifalme au mumgu mtu..siku zote hata kama n kiongoz uknya(samahan kwa kutumia neno hli) lazma uambiwe ili ujisafshe usijechafua wengne au kuwanuksha haruf mbaya.
Samahan kama nimekukera
 
Pro-CDM, bado wachanga kisiasa kila kitu wanachoambiwa na kina Lema wanakubali tu hata kama cha kipuuzi.Sasa unamzomea mtu kwa nini! siku moja Lema anatawambia kesho muwalete wake zenu wakachukuwe mafunzo BAWACHA watarudi baada ya wiki sijui mtakataa au mtakubali?
Jinga lingine hili ubongo kamasi
 
crashwise i appreciate u from the bottom of my heart unanipa raha pande za huku sumbawanga napenda sana siasa za hapo ARUSHA
 
Eti mke na watoto wake ndo wanajua maana yake.....what? Hilo jibu la dharau sana, tena wangemkung'unta na makwenzi ya uhakika kabisa ili siku nyingine ajifunze adabu!
 
crashwise i appreciate u from the bottom of my heart unanipa raha pande za huku sumbawanga napenda sana siasa za hapo ARUSHA
pamoja sana mkuu..kama mwamko wa siasa hapa tz ingekuwa hivi jk asingekuwa magogoni..
 
Back
Top Bottom