Zomeazomea ya waasi wa CHADEMA yaanza..

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Leo nikiwa nafatilia mechi ya Simba na AFC Leopard ya kenya ghafla aliingia aliekuwa diwani wa kata ya Elerai kwa tiketi ya CHADEMA (Bayo) kilichofata ni kurushiwa matusi kama **** wewe huna maana yoyote huku Bayo anae akijitutumua kujibu mashambulizi akisema kama mmeniona sina maana basi mke wangu na watoto wangu wanajua nina maana kadri alivyokuwa anaendelea kujibishana na mashabiki waliokuwa wamekaa jukwa la simba ndivyo walivyokuwa wanazidi kumsakama kuana hivyo wazee waliokuwa wamekaa maeneo hayo waliingilia kati na kuwaambia hapa tuko kwenye mpira acheni siasa, hata hivyo Bayo hakukaa zaidi ya dakika 20 akaondoka zake...

Malla, Bayo, Charles, Rehema kaeni mbali na machaliiiiii wa Arusha wana hasira na nyie....
 
Hapo inaonyesha kuwa wenzetu Chadema uvumilivu hakuna kabisa. Iweje mtu ambaye alikuwa kiongozi wako leo umzomee?
 
Safi sana, wanatakiwa kujua kuwa zile zama za giza zimepita na sasa hadanganyiki mtu. Na ole wao wakirudi kwa magamba ndo wamekwisha kazi, kama wanataka kujua wakamwombe ushauri tambwe hiza kwanza. Hakuna dhambi mbaya kama ya usaliti
 
Unakumbuka Yuda Iskariote alipomsaliti Yesu, baada ya kuona ngoma nzito akaamua Kujitundika, kinachofuata kwa hao madiwani ni........................
hata hawa jamaa wako kwenye wakati mungu kweli...Mfano leo alikuwa akiambiwa hata wewe mzee unatusaliti hujui wanao tunapigika kwasababu ya haya mafisadi
 
Leo nikiwa nafatilia mechi ya Simba na AFC Leopard ya kenya ghafla aliingia aliekuwa diwani wa kata ya Elerai kwa tiketi ya CHADEMA (Bayo) kilichofata ni kurushiwa matusi kama **** wewe huna maana yoyote huku Bayo anae akijitutumua kujibu mashambulizi akisema kama mmeniona sina maana basi mke wangu na watoto wangu wanajua nina maana kadri alivyokuwa anaendelea kujibishana na mashabiki waliokuwa wamekaa jukwa la simba ndivyo walivyokuwa wanazidi kumsakama kuana hivyo wazee waliokuwa wamekaa maeneo hayo waliingilia kati na kuwaambia hapa tuko kwenye mpira acheni siasa, hata hivyo Bayo hakukaa zaidi ya dakika 20 akaondoka zake...

Malla, Bayo, Charles, Rehema kaeni mbali na machaliiiiii wa Arusha wana hasira na nyie....

Believe you me, kitu wanancho kifanya wananchi wa Arusha cha kuwaadhibu (walau kwa maneno/kuzomea) viongozi wasaliti kinaweza kabisa kubadilisha siasa katika vyama vyetu vyote. Kuanzia sasa viongozi watajua madhara ya 'umamluki' kitu ambacho kimekuwa kama cancer kwenye nidhamu ya vyama. Leo kiongozi anakuwa huko, kesho kule, keshokutwa kwingine. Arusha onesheni njia, washikisheni adabu hao.
 
Safi sana, wanatakiwa kujua kuwa zile zama za giza zimepita na sasa hadanganyiki mtu. Na ole wao wakirudi kwa magamba ndo wamekwisha kazi, kama wanataka kujua wakamwombe ushauri tambwe hiza kwanza. Hakuna dhambi mbaya kama ya usaliti
Kosa watakalo fanya ni kwenda CCM yaani ni mara 200 waende chama cha upinza au wakae pembeni na mambo ya siasa baada ya miaka kama 2 hivi ndiyo wanaweza kuibuka lakini wakifanya kwasasa ndiyo watakuwa wamejipalia moto..
 
Hapo inaonyesha kuwa wenzetu Chadema uvumilivu hakuna kabisa. Iweje mtu ambaye alikuwa kiongozi wako leo umzomee?

Mwita25, kama nimemwelewa vizuri Crashwise, wanaomzoea ni wananchi na sio viongozi wa CHADEMA.
 
Believe you me, kitu wanancho kifanya wananchi wa Arusha cha kuwaadhibu (walau kwa maneno/kuzomea) viongozi wasaliti kinaweza kabisa kubadilisha siasa katika vyama vyetu vyote. Kuanzia sasa viongozi watajua madhara ya 'umamluki' kitu ambacho kimekuwa kama cancer kwenye nidhamu ya vyama. Leo kiongozi anakuwa huko, kesho kule, keshokutwa kwingine. Arusha onesheni njia, washikisheni adabu hao.
Kweli mkuu...
 
Hapo inaonyesha kuwa wenzetu Chadema uvumilivu hakuna kabisa. Iweje mtu ambaye alikuwa kiongozi wako leo umzomee?
Mkuu tuliwapenda wakatusaliti hatuwezi kuwaacha hivi hivi kwa kuwa chekea chekea lazima tuwaonyeshe kuwa tumechukia kitendo chao...bahati mbaya hao walikuwa wana mtuka Bayo sikuwauliza kama wana kadi za CHADEMA ilikujilizisha kuwa wanaozomea ni chadema unaweza kuta ni CCM ile ya CCJ...
 
<br />
<br />
siku nyingine acha kukurupuka kuchagua kiongozi sababu tu ana rasta au ni handsome.! Kaa chini tafakari kisha chagua. Usifanye makosa uchaguzi mdogo unaokuja, sawa?
 
mi nafikiri the best decision they can make at this time ni kuomba radhi kwa wananci wa arusha kwa yote yaliyotoke, na kwa chama kwa dhati na katika barua zao wakiri udhaifu na makosa yao na kuahidi kuwa watakuwa wanachama watiifu kwa chama na mfumo wake wa uongozi ikiwa watapata fursa nyingine ya kuwa wanachama.
 
<br />
<br />
siku nyingine acha kukurupuka kuchagua kiongozi sababu tu ana rasta au ni handsome.! Kaa chini tafakari kisha chagua. Usifanye makosa uchaguzi mdogo unaokuja, sawa?
hahaha...Mbona wewe ulimchangu handsome ake Vasco Da gama sisemi...siyo tu nilimchangua pia nilimpigania kwa hari na mali...nitajitahidi nisifanye makosa tena
 
Back
Top Bottom