Zoezi la bomoa bomoa kuanzia Kimara hadi Kiluvya

30 mita huwa zinasogea kila barabara inapopauliwa

Sasa utajuaje kuwa upanuzi umeisha?

Ninavyofahamu Road reserve maana yake ikitokea kuna upanuzi wa barabara huwa unapanuliwa kwny reserve yake hivyo hupunguza reserve na Kama upanuzi utakuwa Mkubwa kuliko reserve yake maana yake extra lazima wafidiwe Wananchi!
 
Bomoabomoa huwa ni project inayojitegemea. Hizo six lanes ni mradi mwingine unaweza kuanza upembuzi yakinifu 2020.
 
Hizo mita 121.5 ni sawa na urefu wa uwanja mmoja na robo wa mpira!! Siyo mchezo, hapo makao makuu ya Tanesco na Wizara ya Maji zitaondolewa.
 
Back
Top Bottom