FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,907
- 43,821
UPDATE:
==============================
Update: 02/05/2023
Hawa watawauwa watu na presha au wamekosea si mita nini?Mita 121.5 kutoka katikati ya barabara sio mchezo.
Mleta mada mbona muhuri hakuna
Hivi ujikute una licheti feki tayari wamekula kichwa ....alafu una tuvibanda twako twa biashara umewapangisha watu .....tupo ndani ya hifadhi ya barabara...hakika unaweza kupata ganzi ya mwili na sio presha tena...Hawa watawauwa watu na presha au wamekosea si mita nini?
Hiyo ndiyo yenyewe kaka.....ww subiri uoneMita 121.5 kutoka katikati ya barabara sio mchezo.
Zinajengwa njia sita kaka...lazima eneo la barabara liwe kubwa.Mita 121.5 kutoka katikati ya barabara sio mchezo.
30 mita huwa zinasogea kila barabara inapopanuliwaMiaka yote wanatanua Barabara mpaka Leo hiyo Road reserve Yao ya 30 meter haijaisha?