Zoezi la bomoa bomoa kuanzia Kimara hadi Kiluvya

Hizo mita 121.5 ni sawa na urefu wa uwanja mmoja na robo wa mpira!! Siyo mchezo, hapo makao makuu ya Tanesco na Wizara ya Maji zitaondolewa.

Ni kuanzia KIMARA hadi KILUVYA.... Sidhani Sana Kama Makalallla makuu ya Tanesco na Maji yapo KIMARA......
 
Hizo mita 121.5 ni sawa na urefu wa uwanja mmoja na robo wa mpira!! Siyo mchezo, hapo makao makuu ya Tanesco na Wizara ya Maji zitaondolewa.

Tanesco inabaki ila wizara ya maji nusu majengo yake yanabomolewa, wameikwepa tanesco maana lile jengo ni ghari ukilinganisha na ya wizara ya maji
 
Hata wakikwepa Tanesco bado nyumba za staff na mitambo ya umeme ya Dowans na ile ya Tanesco iko kwenye eneo hilohilo ambalo hata kama wakimega eneo la wizara tu hawatapata mita 121x2.
 
Mimi binafsi nahisi Hili zoezi ni LA muhimu Kwani kando kando ya hii barabara kumekosa maendeleo kutokana na watu kutokujua mwisho WA hemeya ya barabara. Tunasubiria zoezi kwa hamu
 
Mita 121 bila fidia ni ukandamizaji wa hali ya juu. Hakuna anayekataa manufaa ya huo mradi wa barabara ila pia hakuna upana wa kisheria unaokubalika kama huo wa mita 121!! Watu walijenga nyumba kwa kuangalia upana uliowekwa na Tanroads!! Kama wamezidisha sababu ya kimaendeleo basi ni busara serikali ikatoa fidia kwa wananchi watakaoonekana wameingizwa kwa sababu ya matakwa ya mradi.
 
TANiRODi fuatens isheria za inchi. Hio Sharia ya ibarabara (RoW) ya 2007 imewakutas watu, makazis/majengo, biasharas nk. Andaeni mpango makazi mapye (resettlement aksheni plan) mapema. Wapeni stahike ya mijengo, malasi, biasharas na uzumbuvu. Pia waasiirika waandaliwe kisaikologias. Ra sifyo sitowapi mkopos!!.
 
Mita 121 bila fidia ni ukandamizaji wa hali ya juu. Hakuna anayekataa manufaa ya huo mradi wa barabara ila pia hakuna upana wa kisheria unaokubalika kama huo wa mita 121!! Watu walijenga nyumba kwa kuangalia upana uliowekwa na Tanroads!! Kama wamezidisha sababu ya kimaendeleo basi ni busara serikali ikatoa fidia kwa wananchi watakaoonekana wameingizwa kwa sababu ya matakwa ya mradi.
Ramani za mipango miji zinaonyesha upana wa barara ni mita 243 na ni zazamani tu kama mtu amejenga bila kufuatilia ramani imepanga matumizi gani ya ardhi katika eneo husika hapo asiilaumu serikali
 
Rimipango Miji lamwaka upis Mkuu.Turushie hiro riramani.
 
Hapo Hapo TRA wanataka KODI hawajui ulibomolewa au Hukubomolewa Wao wanahesabu miezi yao...Nyie nyie nyie mnaojiita Cherikali...Mungu anawaonaaa.
 
Tuende wapi yani kwa mfano
 
Attachments

  • 20170507_101030.jpg
    20170507_101030.jpg
    156.9 KB · Views: 752
Back
Top Bottom