Ziwa Tanganyika, ni mlango wa Kuzimu

Ziwa Tanganyika, ni mlango wa Kuzimu

ni ndege Wa porini, adimu sana kumuona, aña rangi nyeusi na midomo mikubwa myekundu. Mbeya hujulikana kwa jina LA bututu. Akilia nyumbani kwenu mtaandamwa na mikosi maisha yenu yote
Bujibuji huyu ana tofauti gani na bundi?
 
Wewe mnyakyusa najua utakuwa mbioni kufungua kanisa, maana huko mbeya ndio zenu
 
S
Ziwa Tanganyika linasifika sana kwa urefu Wa kina chake, dagaa watamu wasio na mchanga, samaki aina ya migebuka, meli ya MV Lihemba na fukwe zake nzuri zenye mchanga mweupe zinazozungukwa na milima yenye uoto mbichi Wa kijani kibichi.

Mbali ya sifa hizo pia Ziwa Tanganyika linasifa nyingine tofauti kwenye ulimwengu Wa kiroho. Ziwa Tanganyika ni mlango Wa kuzimu.
Wachawi wote NGULI Wa Sumbawanga, Kigoma na Congo ambayo zamani ilijulikana kama Zaire hutoka katika ziwa hili.

Uchawi Wa Gamboshi umetokea ndani ya ziwa hili. Uchawi Wa Wamanyafu nao mizizi yake ni kwenye hili ziwa.

Ili kuweza kwenda kuzimu unahitajika kuwa na mtaalam mzoefu ambaye atakuombea kibali cha kwenda huko.
Miongoni mwa mahitaji muhimu ya safari yako ni mayai saba viza, mbuzi mweupe au mweusi asiye na doa wala baka lolote, kucha za bundi, manyoya ya shingoni ya kipanga Aziz na vitu vingine utakavyoambiwa na kiongozi wako.
Sipo kwenye ulimwengu wa Roho. Walimu wa huko endeleeni
 
Ndo mana hatuendelei na mauaji ya vikongwe na zeruzeru hayaishi kwa ajili ya watu km nyie wenye kushindwa kuyaona yaonekanayo na kujifanya mnaujua ulimwengu wa kiroho. Mmekaa kuogofya wenzenu kwa kusingizia mnauwezo wa kuvunja nguvu za kuzimu. Hebu waseme wengine lkn hata wakristo ambao tunaamini Yesu alishuka kuzimu na kumchakaza shetan bado tunadanganyika. Hebu fungueni macho IWENI NA IMANI mwamini kwanza Kristo Yesu naye atakutendea na si kungoja eti akutendee ndo umwamini.... Mnanikera na mazingaombwe yenu basi tu....
 
Anamnanga Zitto huyo.Nadhani haziivi.
Ziwa Tanganyika linasifika sana kwa urefu Wa kina chake, dagaa watamu wasio na mchanga, samaki aina ya migebuka, meli ya MV Lihemba na fukwe zake nzuri zenye mchanga mweupe zinazozungukwa na milima yenye uoto mbichi Wa kijani kibichi.

Mbali ya sifa hizo pia Ziwa Tanganyika linasifa nyingine tofauti kwenye ulimwengu Wa kiroho. Ziwa Tanganyika ni mlango Wa kuzimu.
Wachawi wote NGULI Wa Sumbawanga, Kigoma na Congo ambayo zamani ilijulikana kama Zaire hutoka katika ziwa hili.

Uchawi Wa Gamboshi umetokea ndani ya ziwa hili. Uchawi Wa Wamanyafu nao mizizi yake ni kwenye hili ziwa.

Ili kuweza kwenda kuzimu unahitajika kuwa na mtaalam mzoefu ambaye atakuombea kibali cha kwenda huko.
Miongoni mwa mahitaji muhimu ya safari yako ni mayai saba viza, mbuzi mweupe au mweusi asiye na doa wala baka lolote, kucha za bundi, manyoya ya shingoni ya kipanga Aziz na vitu vingine utakavyoambiwa na kiongozi wako.
Ninatokea huko
Mbona hayo nayasikia kwako
Wacha chuki wewe
 
mshana jr huyu bututu yeye ni mkubwa kuliko bundi yaan yeye anafanana na tai sema tai ni mkubw kidogo. Huyu ndege ana miguu mirefu na anarangi nyeusi na mdomo wake ni mrefu,mwekundu.

Na anaonekana mara chache sana tofauti na bundi
 
kwa kuwa lina kina kirefu wenye fikra duni wanaona kwa kina chache litafika chini mno ktkt ya dunia ambako huenda ndo kwa lucifer!
 
Ziwa Tanganyika linasifika sana kwa urefu Wa kina chake, dagaa watamu wasio na mchanga, samaki aina ya migebuka, meli ya MV Lihemba na fukwe zake nzuri zenye mchanga mweupe zinazozungukwa na milima yenye uoto mbichi Wa kijani kibichi.

Mbali ya sifa hizo pia Ziwa Tanganyika linasifa nyingine tofauti kwenye ulimwengu Wa kiroho. Ziwa Tanganyika ni mlango Wa kuzimu.
Wachawi wote NGULI Wa Sumbawanga, Kigoma na Congo ambayo zamani ilijulikana kama Zaire hutoka katika ziwa hili.

Uchawi Wa Gamboshi umetokea ndani ya ziwa hili. Uchawi Wa Wamanyafu nao mizizi yake ni kwenye hili ziwa.

Ili kuweza kwenda kuzimu unahitajika kuwa na mtaalam mzoefu ambaye atakuombea kibali cha kwenda huko.
Miongoni mwa mahitaji muhimu ya safari yako ni mayai saba viza, mbuzi mweupe au mweusi asiye na doa wala baka lolote, kucha za bundi, manyoya ya shingoni ya kipanga Aziz na vitu vingine utakavyoambiwa na kiongozi wako.

Leta evidence mkuu,vinginevyo hatutakuelewa.
 
Mkuu Bujibuji bado hujamaliza hapa jazia jazia haina maana ukijazia tutakushuku u mmoja wa viongozi wa huko
 
mshana jr huyu bututu yeye ni mkubwa kuliko bundi yaan yeye anafanana na tai sema tai ni mkubw kidogo. Huyu ndege ana miguu mirefu na anarangi nyeusi na mdomo wake ni mrefu,mwekundu.

Na anaonekana mara chache sana tofauti na bundi
Asante sana ngoja nikamsake
 
Back
Top Bottom