Zitto Zuberi Kabwe yuko wapi? Kweli akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki

Nimeshangazwa na ukimya wa hali ya juu wa Zuber Zitto Kabwe mtu aliyesifika kupambani haki za Watanzania kwa ujumla wao.

Walioko karibu na huyu Kiongozi wa ACT wazalendo watujulishe.

Huko aliko yuko salama?

DP world!
Zitto ni mtu aliye kufa kibudu kisiasa hivyo kwa sasa anatumia unafiki na ubinafsi kuishi ...hakuna mtu pale
 
Back
Top Bottom