Zitto Z. Kabwe nani kakunyamazisha?

Zitto Z. Kabwe nani kakunyamazisha?

Ulianza vyema sana na hoja ya mabilioni ya Uswisi. Wengi wetu tulikuwa tayari kukuunga mkono na kusaidia kuwaanika waficha mabilioni kule. Ukawasilisha hoja yako Bungeni. Tangu wakati ule umekuwa kimya. Nini kinaendelea kuhusu suala la mabilioni ya Uswisi. Nini/nani aliyekunyamazisha? Si vibaya ukatudokeza.

cc Zitto

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
1. Ukishashirikiana na watu fulani kwenye michezo michafu huna nguvu ya kuwakosoa tena,wewe tembea na house girl wako nyumbani uone kama utaweza kumfokea hata kidogo siku akikosea,
2. Pesa tamu sana,ukilambishwa kidogo tu,unataka tena kama vile ukionja asali,kifupi huko aliko jiingiza hawezi kutoka tena,sana sana ataishia kuhamia kwa magamba,
 
Ulianza vyema sana na hoja ya mabilioni ya Uswisi. Wengi wetu tulikuwa tayari kukuunga mkono na kusaidia kuwaanika waficha mabilioni kule. Ukawasilisha hoja yako Bungeni. Tangu wakati ule umekuwa kimya. Nini kinaendelea kuhusu suala la mabilioni ya Uswisi. Nini/nani aliyekunyamazisha? Si vibaya ukatudokeza.

cc Zitto

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Mkuu, hapo ndipo utakapoamini kuwa wabunge na viongozi wa CHADEMA ni waropokaji. zitto hana ushahidi wowote bali alijiropokea to kwa maslahi yake ya kisiasa
 
Hamna hoja aliyowahi Zitto kuianzisha na akaisimamia na matunda yakaonekana tangu alipoanza kuhongwa vyeo na watawala,huwa anatafuta publicity tu na uzuri CCM wanamjua mwenzao kuanzia uswahiba hadi nafasi za uongozi na mpaka utissi na udini,hakika mkoa wa Kigoma kuanzia wakina Tambwe hadi leo unatuzalishia wachumia tumbo na mandumi la kuwili tu,kasoro kwenye mziki na mpira tu,lakini siasa mmhhmm!!!!

Kijana hajazawadiwa cheo hata siku moja. We sema una wivu. Kachaguliwa bungeni kwa kura lukuki mpaka na wabunge wa ccm. Amechaguliwa na Raisi wa ujerumani kuwa mshauri wa uchumi wa Ujerumani, je na hii ni zawadi?
 
Spika: Muheshimiwa Zitto Kabwe Kaa chini
Zitto: Sikai
Spika: Mheshimiwa Zitto Kabwe futa Hoja
Zitto: Sifuti
Spika: Mheshimiwa Zitto nitaita askari wabunge wakutoe nje unaleta fujo hap!
Zitto: Nani atokeee! Sitokii

Huyo ndio Zitto wa Zamani si huyu wa sasa.....!
 
naomba na wewe mzee tupatupa usije kimbia humu, na ukatuacha hewani, ila ebu mpe muda maalumu asipojibu wewe umalize maana naona unashahuku.
 
Ulianza vyema sana na hoja ya mabilioni ya Uswisi. Wengi wetu tulikuwa tayari kukuunga mkono na kusaidia kuwaanika waficha mabilioni kule. Ukawasilisha hoja yako Bungeni. Tangu wakati ule umekuwa kimya. Nini kinaendelea kuhusu suala la mabilioni ya Uswisi. Nini/nani aliyekunyamazisha? Si vibaya ukatudokeza.

cc Zitto

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Alikuwa busy na Taifa Stars, kwakuwa sasa safari ya Brazil imeishia Uwanja wa Taifa, atairudia hoja yake...
 
Mkuu, hapo ndipo utakapoamini kuwa wabunge na viongozi wa CHADEMA ni waropokaji. zitto hana ushahidi wowote bali alijiropokea to kwa maslahi yake ya kisiasa

Kijana hajazawadiwa cheo hata siku moja. We sema una wivu. Kachaguliwa bungeni kwa kura lukuki mpaka na wabunge wa ccm. Amechaguliwa na Raisi wa ujerumani kuwa mshauri wa uchumi wa Ujerumani, je na hii ni zawadi?
Nyote ni magamba. Mmoja anamsifia mwingine anamponda. Msukumo wa kutofautiana upo kwenye eneo moja tu. Ngoja CHAMVIGA amalize mfungo
 
Last edited by a moderator:
keshavutwa pembeni kama ilivukuwa kwenye ile kamati ya kuchunguza mikataba ya madini,japo walizunguka kila nchi lakini hadi leo madini bado yanatoroshwa na umasikini upo palepale.
ndio maana anapinga sitting allowance kwani anajua wapi anapiga dili!
cc @zito
 
Lakini waungwana ni lazima tufike sehemu,tupate mrejesho wa uchunguzi alioahidi umma kuufanya. Vinginevyo ni uchuro.
 
Ulianza vyema sana na hoja ya mabilioni ya Uswisi. Wengi wetu tulikuwa tayari kukuunga mkono na kusaidia kuwaanika waficha mabilioni kule. Ukawasilisha hoja yako Bungeni. Tangu wakati ule umekuwa kimya. Nini kinaendelea kuhusu suala la mabilioni ya Uswisi. Nini/nani aliyekunyamazisha? Si vibaya ukatudokeza.

cc Zitto

mkuu siasa zina safari ndefu sana katika mazingira ya tanzania na afrika at large.
Changamoto zipo nyingi sana. Kung'olewa kucha, upigwa, kuuawa na kadhalika.
Ukikubali kuwasaliti majority ndo inabidi ule mlungula ukae kimya na kuishia kupiga kelele kwa mbaali ili usionekane kama umepotea sana wakati uhalisia unaujua mwenyewe.
Uzalendo una wenyewe mkuu. Lazima uwe unachukia udhalimu pasi na changamoto za kimaisha za hapa na pale.
hii ilikua by the way, natumai mkuu Z atatupa mwangaza kidogo nini kimemfika hata kupunguza harakati dhidi ya udhalimu.
 
Back
Top Bottom