Zitto Z. Kabwe nani kakunyamazisha?

Zitto Z. Kabwe nani kakunyamazisha?

Sasa akishawataja iweje? mbona wengi tu wanajulikana na hawafanywi ki2? achaneni na siasa za kupayuka bhana..... kivuli cha huyu bwana kinawapeleka puta wengi sana.. mh. Zitto nakushauri uendelee kufanya siasa zako kisayansi kama kawa..
 
Hamna hoja aliyowahi Zitto kuianzisha na akaisimamia na matunda yakaonekana tangu alipoanza kuhongwa vyeo na watawala,huwa anatafuta publicity tu na uzuri CCM wanamjua mwenzao kuanzia uswahiba hadi nafasi za uongozi na mpaka utissi na udini,hakika mkoa wa Kigoma kuanzia wakina Tambwe hadi leo unatuzalishia wachumia tumbo na mandumi la kuwili tu,kasoro kwenye mziki na mpira tu,lakini siasa mmhhmm!!!!
Hili la mkoa wa Kigoma kutuzalishia wachumia tumbo sidhani kama lipo sawa-Kama zito na Tambwe umeona wanatatizo ni yao wenyewe mkuu
 
Ben saanane kweli ni hatari yeye na Zitto sijui itakuaje maana uchaguzi ndani ya chama chao mwaka huu kutakua na mnyukano wa kufa mtu.Chukulia picha Zitto achukue fomu ya uenyekiti,Ben Saanane achukue fomu ya Uenyekiti jumuiya ya vijana na wote ni mabingwa wa fitina na siasa chafu za kimafia halafu ni mahasimu wakubwa na wapambe wao.Nasubiri kwa hamu nione mtanange huu
 
Ebwanaeee kweli hili li chama la chadomo ni la mkoa wa kilimanjaro BHAAAAS, cc FaizaFoxy cheki Zitto anavochukiwa na kubaguliwa na hao Movements For Chagas (M4C)
 
Last edited by a moderator:
Ben Saanane amemsumbua sana, inawezekana kuna vingine vimechangia but huyu dogo pia ameplay part Zitto kukaa kimya espeshale aliposema yupo tayari wapelekane mahakamani na kwenye vikao vya chama Zitto akawa mpole.
Ben Saanane hebu kuja pande hizi wenzio wataka kujua swala la mabilioni ya Uswisi
 
Last edited by a moderator:
zitto huu uzi waki na saanane usikupotezee muda maana hawa ni wafua chupi za slaa ambao tumbo linawafanya waupoteze utu wao.

daa! Kamanda zitto akisoma post yako na mada husika atajibu ipi? Mi namkubali kila mwanachadema aliye safi na wa vyama vingine waliotanguliza maslah ya watz wote, punguza ukali wa maneno au umewah kumwona akifua? Je ulifata nn? Mwanacdm hai anatambua umuhimu wa zito, slaa na mbowe n.k tuache siasa za kugombanishana ziletwazo kwa maslah binafsi.
 
mi sioni point hapa, wengi wenu mnaochangia ni makamanda wenzangu, hivi mke wako akianza tabia ya ukikojozi unaenda kwa jirani kutangaa! fikirini mnafanya nini hapa na tuache utoto!
 
ina maana si ZITTO huyu huyu wa madini ya Buswagi? mnataka tuungane na kauli ya mwakyembe? mi bado
 
Zito alianza kunikera siku alipobaki bungeni wakati wenzake wakisusia hotuba ya msanii. Tangu siku hiyo amekua akikwepa kujihusisha kikamilifu ktk shughuli za kuwapigania wananchi.

Katika mahojiano yake live yaliyofanywa humu jf kwa asilimia nyingi alijibu blah blah.
 
Zitto ni Jembe, huenda mpini umekatika au unahitirafu, sio mbaya jembe nalo likawa chelembi pia; TUNAKUHITAJI UENDELEE KUPIGANA NA CCM, no compromise or consensus with CCM Zitto, Simama kiume kaka, ONE team, ONE leader, One Enemy, cheza namba yako kwa umakini ZITTO, Kigoma is our home, VAA GWANDA MILELE CCM NI HATARI KWA MAISHA YETU SOTE.
 
Zitto,bado nakusubiri kwa majibu yako

@Nuta-Nkuvutu, according to my reliable sources of infor., Hon. Zitto is busy writing his PhD Thesis, shortly will rejoin the Forum!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom