Zitto Z. Kabwe nani kakunyamazisha?

Zitto Z. Kabwe nani kakunyamazisha?

Zito ni kiongoz bora chadema lakini hata mimi nashangaa kwanini siku hizi amekuwa kimya hvo? Kwa vile yupo angetusaidia kutupa majibu basi.
 
Kiukweli ZZK mimi nina wasiwasi nae tokea SAID KUBENEA alivyotoa habari za mawasiliano yake na wakuu wa serikali, alafu tokea WABUNGE hawa G. LEMA, TUNDU LISU, MSIGWA, MNYIKA, MDEE waingie ndani ya BUNGE wamemfunika vibaya mno kwa sababu chache tu, [1] WAKARI na hawachekicheki na WATAWALA katika mambo yanayohusu WANANCHI streight [2] DHAIFU WA KUSIMAMIA mambo hasa yanayowagusa WAKUBWA WA NCHI kama hilo la MABILIONI YA USWIS [3] MUOGA wa kuuwawa na kung'olewa kucha sijui kwanini alikubali kuwa mtetezi wa wana wa nchi, ndio maana humuoni katika MAANDAMANO HATA YA AMANI, katika CHAGUZI NDOGO na NGUMU, na hata katika HOJA NGUMU NA ZENYE KUTISHIA NAFASI za WAKUBWA, kama WAZIR MKUU MUONGO, RAIS DHAIFU, na kutoka nje siku RAIS alipofungua BUNGE [4] ANATUMIWA NA WAKUU WA NCHI, kama vile alivyotumwa kugombea nafasi ya U/KITI CDM taifa na mwaka huu kusema MBOE ni mfano wa kuigwa, [5] TAMAAA YA MADARAKA, U/KITI CDM taifa n URAIS [6] CHUKI ZA KIJINGA [7] MISIFA na ataendelea kudorola mpaka akome labda ajirekebishe mapema,uzuri wake CHADEMA wamemshtukia, kwa leo inatosha naomba kuwasilisha
 
Nyote ni magamba. Mmoja anamsifia mwingine anamponda. Msukumo wa kutofautiana upo kwenye eneo moja tu. Ngoja CHAMVIGA amalize mfungo

Mzito Kabwela.
Sionagi aibu kumsifia mtu anaefanya vizuri ktk jamii hata akiwa adui yangu. Inapotokea haki naichukua hata kama aliyezungumza ni adui yangu na ukitokea kinyume chake sishabikii hata unasemwa na adui.
 
Last edited by a moderator:
Zitto ni mtu makini pale cdm. Hakuna mwingine kama huyu jamaa but kuna kaubaguzi anafanyiwa huyu Leader
nakubaliana na wewe sana na hako kaubaguzi kameanza kuwaadhibu tayari na wote tunashuudia hilo du kumbe mambo hadharani iseee :Cry:
 
Ulianza vyema sana na hoja ya mabilioni ya Uswisi. Wengi wetu tulikuwa tayari kukuunga mkono na kusaidia kuwaanika waficha mabilioni kule. Ukawasilisha hoja yako Bungeni. Tangu wakati ule umekuwa kimya. Nini kinaendelea kuhusu suala la mabilioni ya Uswisi. Nini/nani aliyekunyamazisha? Si vibaya ukatudokeza.

cc Zitto

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

mm ndo maana nasema wote ni walewale kasoro majina ameonja pepo hawez kumkumbuka msakatonge tena. Wanaonea huruma watz wanaopoteza maisha kwakumuunga mkono mwanasiasa wa tz(none sense)
 
Ulianza vyema sana na hoja ya mabilioni ya Uswisi. Wengi wetu tulikuwa tayari kukuunga mkono na kusaidia kuwaanika waficha mabilioni kule. Ukawasilisha hoja yako Bungeni. Tangu wakati ule umekuwa kimya. Nini kinaendelea kuhusu suala la mabilioni ya Uswisi. Nini/nani aliyekunyamazisha? Si vibaya ukatudokeza.

cc Zitto

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Dhaifu kamnyamazisha kwani hufahamu Zito ni ndumila kuwili?
 
Mkubwa nakwambia haya mambo ni mazito sana na hakika kuna LINK zimebeba mambo ya hawa mafisadi mpaka ukifungua unaweza ukajikuta umekuwa wa baridi kwa mambo utakayokutana nayo humo.
Ila shaka ondoka kwani hakika ukiona giza ikitawala sana ujue karibia panakucha.

Hilo neno amelisema Mheshimiwa G. Lema

Hiyo link Ina mazito mzazi utaua watu kwa pressure mkuu
 
Ulianza vyema sana na hoja ya mabilioni ya Uswisi. Wengi wetu tulikuwa tayari kukuunga mkono na kusaidia kuwaanika waficha mabilioni kule. Ukawasilisha hoja yako Bungeni. Tangu wakati ule umekuwa kimya. Nini kinaendelea kuhusu suala la mabilioni ya Uswisi. Nini/nani aliyekunyamazisha? Si vibaya ukatudokeza.

cc Zitto

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Au katulizwa kwa mlungula:; anapenda sana kucha na meno yake
 
Ben Saanane amemsumbua sana, inawezekana kuna vingine vimechangia but huyu dogo pia ameplay part Zitto kukaa kimya espeshale aliposema yupo tayari wapelekane mahakamani na kwenye vikao vya chama Zitto akawa mpole.
 
Last edited by a moderator:
zito hajawahi kushindana akashindwa.wabaya wake akiwemo Lissu ndio walioropoka bungeni kwa madai kuwa anakashfa ya rushwa lkn kamati ya ngwilizi ikatenda haki na wasaliti wakaumbuka.
pia walipo vunja kamati ya poac watu mlishangilia na kifanya sherehe kwa kuamini kuwa zitto atapotea kama mnavyopenda iwe hivyo lkn mungu akawaaibisha kwa zitto kukomba mpaka kamati ya cheyo.
Sasa mmekuja na hoja mfu mkidhani mtawahadaa watanzania na kuwafurahisha wakaskazini.endeleeni kusubiri.
 
Ametajirika ghafla sana anahisi watamgeuzia kibao wezi alokuwa akiwasumbua.
 
Zitto sasa ni level ya kimataifa,wala mh.usipoteze muda kujibu huu utumbo acha tumgonge ant virus mleta mada ili ajue kuwa your the special one,go our zitto go.
 
Zitto huu uzi waki na saanane usikupotezee muda maana hawa ni wafua chupi za slaa ambao tumbo linawafanya waupoteze utu wao.
 
Zitto na ukaguzi wa hesabu za serikali,Lema na maandamano ma vurugu.sugu ma bangi ma lissu na kupenda kesi kama mtikila
 
Sio lazima ajibu yeye,yeyote mwenye data zake atupe.Nasikia anajenga ghorofa Dodoma maeneo ya hostel za St.Gasper
 
Back
Top Bottom