Sitokuja kumsupport kufuli hata siku moja, kuna vitu anafanya vya maana ila ikija kwenye maswala ya haki za watu jamaa ni kalio kabisa. Atakutafuta akukomoe kwa nguvu zote, yaani huyu jamaa walivyomtafutia kesi kwa nguvu hadi inashangaza, na hizi walizompa akishinda watatafuta nyingine hadi waipate ikiwezekana kumtungia ya uongo, usijekuta sa hivi hata evidence zishatengenezwa fake ilimradi tu jamaa awekwe ndani. I seriously hate this dude with all my heart, endeleeni kumuombea coz kila siku anapiga makelele wajinga mnafurahia mtu wa mungu.