Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,650
articley zake nazipata wapi nizisome?
Ivi nani huwa anawashauri kupanga matukio bila kuwa na plan B?Una beep...
Chaji kimeo chako vizuri ili ukipigiwa ukae hewani muda wa kutosha.
Acheni kumsingizia Mungu, Kabendela alikuwa anapigania tumbo lake, waliokuwa wanamlipa walikuwa wanapogania matumbo yake. Mungu huyo huyo ndio ameagiza vijana kuwaheshimu watu wazima, ndiye ameagiza kuwaheshimu viongozi. So Kama unataka kuagiza habari za Mungu I would say Kabendela ameenda kinyume na matakwa ya Mungu.Mkuu unaamini kuna Mungu ?
Ha ha ha ha, Kama wewe Mwanaume toka huko utumwani uje upambane huku, unapiga kelele nyuma ya keyboard tena ukiwa utumwani, unawasafisha mavi bibi vizee. Njoo uje ujenge Nchi yako kenge wewe.He is done mafii yako?
Upo we mdada.Kitambo Sana Sijaona mwandiko wako.Ni wewe au nimesoma vibaya?
Ni ajabu kuona ‘praise team’ ukiandika haya.
Hata hivyo umefanya vyema, ni muda sasa sote tuungane kukemea uonevu huu.
For nothing baby girl. Just airing my view, "a keyboard warrior"Ar u too doin dis for money?
Shame
Jikite kwenye mada wewe mkaldayo acha porojo jamvini fanya kazi.Ha ha ha ha, Kama wewe Mwanaume toka huko utumwani uje upambane huku, unapiga kelele nyuma ya keyboard tena ukiwa utumwani, unawasafisha mavi bibi vizee. Njoo uje ujenge Nchi yako kenge wewe.
Kwa hiyo wewe unachekelea? Alicheka nape, akacheka makamba na wakawa front line kwa kila hujuma Leo wanateketea na kujisemea kimoyo moyo kuwa huyu alitokea wapi sembuse wewe, unafurahia Wakati kila Dalili inaonesha kuwa tunaelekea kwenye mabadiliko hivyo kesho waweza kuwa wewe au wanaoEndeleeni kumjaza upepo tu, yeye yupo nyavuni nyie mnapiga piga kelele hapa mkiwa nyuma ya keyboard. Bila shaka Lugemalila na Seth watampa Salam Zake.
Let see kama after three to four months kama kuna mtu atakuwa anamkumbuka. Huyo Zitto ameshamtumia kutimiza Political ambitions zake, "he is done".
Unajitoa ufaham Kwa karanga za kuonjeshwaEndeleeni kumjaza upepo tu, yeye yupo nyavuni nyie mnapiga piga kelele hapa mkiwa nyuma ya keyboard. Bila shaka Lugemalila na Seth watampa Salam Zake.
Let see kama after three to four months kama kuna mtu atakuwa anamkumbuka. Huyo Zitto ameshamtumia kutimiza Political ambitions zake, "he is done".
Tunajua wewe hujapanga njama zozote dhidi ya yeyote.
Tunajua wewe sio mkwepa Kodi na tunajua huna hela za kutakatisha.
Tunajua tatizo ni kazi yako.
Ni uandishi wako.
Ni msimamo wako. Ni weledi wako.
Sisi marafiki zako tutapambania Uhuru wako. Inaweza kuchukua muda mrefu lakini TUTASHINDA.
Erick utakuwa huru, makosa yao ya kubumba yaliyokusweka jela hayatashinda haki. Watesi wako walisema wewe sio raia, Leo wamekutangaza wenyewe kuwa ni raia. Hata haya makosa ya sasa wao wenyewe watakutangaza kuwa huna.
We are happy that You are Strong Eric
View attachment 1173027
Wewe ndiyo mjinga na inaonekana hujajipanga vizuri kwani hujapata taarifa yeyote kuwa alikamatwa kwa lipi? Watu wame unga unga tu story na wewe zuzu umezichukua kama zilivyo na kudai umejipanga. Hamjajipanga chochote bado ni wale wale wa udaku bila facts.Washamba na Malimbukeni hawa, sijui huwa hawafikirii plan B wakitaka kupanga maovu yao.
Wamejing'ata ng'ata kwa makosa zaidi ya manne, eti leo wanaibuka na makosa mengine tofauti, kizazi hiki sio cha watu wajinga tena, muwe mnajipanga mkitaka kufanya uovu wenu, kuliko na kudhihirisha ujinga wenu namna hii.
Kuwa Imara utayashinda haya Erick.
Msaliti wa nchi atapata shida tu hata mfanye nini. Hakuna mzalendo ambaye Yukos tayari kuacha ngome yake ikiteketea kwa sababu da nyie wakimbizi.Tunajua wewe hujapanga njama zozote dhidi ya yeyote.
Tunajua wewe sio mkwepa Kodi na tunajua huna hela za kutakatisha.
Tunajua tatizo ni kazi yako.
Ni uandishi wako.
Ni msimamo wako. Ni weledi wako.
Sisi marafiki zako tutapambania Uhuru wako. Inaweza kuchukua muda mrefu lakini TUTASHINDA.
Erick utakuwa huru, makosa yao ya kubumba yaliyokusweka jela hayatashinda haki. Watesi wako walisema wewe sio raia, Leo wamekutangaza wenyewe kuwa ni raia. Hata haya makosa ya sasa wao wenyewe watakutangaza kuwa huna.
We are happy that You are Strong Eric
View attachment 1173027
Mlolongo wa tukio uko hiviWewe ndiyo mjinga na inaonekana hujajipanga vizuri kwani hujapata taarifa yeyote kuwa alikamatwa kwa lipi?
Hamjajipanga chochote bado ni wale wale wa udaku bila facts.
Namba 3![]()
Huwa nataman kujua wale walosoma na Jpm enzi za sekondari..jamaa alikua ana tabia zipi hasa..nahis ukimkanyag alikua anarudishia asee.dah



