Zitto: We are happy that you are strong Eric

mie toka saa1 najiuliza kwa uchungu mkali sana rohoni maana sio moyoni...!navaa viatu vya mke wa huyu kaka vinapwaya..huyu kaka sio mtu mzima kivile..ameacha mke na wanae kwa kesi za kubambikiwa..

Kwakwel mkewe nimpe kongole! ! kuna wanawake wameumbwa na uvumilivu wa aina yake jaman...! mimi niseme tu hata siku hii mume wangu asingefika mahakamani...angekua ameshanizika! jamani sijui nisemeje..! kwanza naandika hapa machozi ya hasira yananilenga lenga..najiuliza wanae wanamsumbuaje mama yao wanataka kujua baba kafanya kosa gani!!..siku ya leo ningekufa na polisi m1 hii mahakama...qumamae zao
 
Bila kujali watoto watakula nini na watasoma vipi?
 
Nadhan hvo ndio viwanda vya awamu hii. Very sad.
Yaani kwenye utawala wa sasa chini ya Daktari JPJ Magufuli unaweza ukapredict mzigo watakaomtupia mtu wanayeona anawasema sana

1) Uraia wenye utata: hapa unaweza kuulizwa utaje majina matatu ya babu yake na babu yake baba yako, au uonyeshe walizikwa wapi
2) Cyber crime and/or Uchochezi
3) Ukwepaji Kodi (hata kama huna biashata yoyote)
4) Ujambazi sugu wa kutumia silaha (ukipenda, organised crime😛)
5) Utakatishaji Fweza
6) All of the above

Harafu hawahawa ikifka Ijumaa au Jumapili wanawahi mbele kabisa wawekewe mikono na watumishi wa Allah/Mungu
 
Washamba na Malimbukeni hawa, sijui huwa hawafikirii plan B wakitaka kupanga maovu yao.

Wamejing'ata ng'ata kwa makosa zaidi ya manne, eti leo wanaibuka na makosa mengine tofauti, kizazi hiki sio cha watu wajinga tena, muwe mnajipanga mkitaka kufanya uovu wenu, kuliko na kudhihirisha ujinga wenu namna hii.

Kuwa Imara utayashinda haya Erick.

Una beep...

Chaji kimeo chako vizuri ili ukipigiwa ukae hewani muda wa kutosha.
 
mie toka saa1 najiuliza kwa uchungu mkali sana rohoni maana sio moyoni...!navaa viatu vya mke wa huyu kaka vinapwaya..huyu kaka sio mtu mzima kivile..ameacha mke na wanae kwa kesi za kubambikiwa..

Kwakwel mkewe nimpe kongole! ! kuna wanawake wameumbwa na uvumilivu wa aina yake jaman...! mimi niseme tu hata siku hii mume wangu asingefika mahakamani...angekua ameshanizika! jamani sijui nisemeje..! kwanza naandika hapa machozi ya hasira yananilenga lenga..najiuliza wanae wanamsumbuaje mama yao wanataka kujua baba kafanya kosa gani!!..siku ya leo ningekufa na polisi m1 hii mahakama...qumamae zao

Taratibu dada

Taratibu dada

Rafu road hii utaua chombo.
 
Tunajua wewe hujapanga njama zozote dhidi ya yeyote.
Tunajua wewe sio mkwepa Kodi na tunajua huna hela za kutakatisha.
Tunajua tatizo ni kazi yako.
Ni uandishi wako.
Ni msimamo wako. Ni weledi wako.
Sisi marafiki zako tutapambania Uhuru wako. Inaweza kuchukua muda mrefu lakini TUTASHINDA.
Erick utakuwa huru, makosa yao ya kubumba yaliyokusweka jela hayatashinda haki. Watesi wako walisema wewe sio raia, Leo wamekutangaza wenyewe kuwa ni raia. Hata haya makosa ya sasa wao wenyewe watakutangaza kuwa huna.

We are happy that You are Strong Eric
View attachment 1173027
Shida yao kupoteza muda.kwan weledi hawa hawana
 
Endeleeni kumjaza upepo tu, yeye yupo nyavuni nyie mnapiga piga kelele hapa mkiwa nyuma ya keyboard. Bila shaka Lugemalila na Seth watampa Salam Zake.
Let see kama after three to four months kama kuna mtu atakuwa anamkumbuka. Huyo Zitto ameshamtumia kutimiza Political ambitions zake, "he is done".
Mkuu unaamini kuna Mungu ?
 
Wale mnaoficha vyeti vya kuzaliwa na vitambulisho vingine kusikojulikama anzeni kuviweka mahali panapo onekana, maana siku hizi ukikamatwa jambo la kwanza ni kuhoji uraia wako.

Wanahoji uraia makusudi ili waweze kumwomba passport yake wakae nayo kumkomesha. Wanajua kesi watayompachika haina dhamana, hivyo hawatakuwa na kigezo cha kumtaka atoe passport...
 
Sikuwahi kufikilia hii kitu. Sasa ndio nimejua.
 
Kama kweli mbingu ipo...kuna watu hawawezi iona kabisa....haimaanishi wengine hawakosei bali kuna watu wana roho ngumu na wanafanya uonevu mkubwa sana tena nje nje
Wataiona kama wakitubu
 
Endeleeni kumjaza upepo tu, yeye yupo nyavuni nyie mnapiga piga kelele hapa mkiwa nyuma ya keyboard. Bila shaka Lugemalila na Seth watampa Salam Zake.
Let see kama after three to four months kama kuna mtu atakuwa anamkumbuka. Huyo Zitto ameshamtumia kutimiza Political ambitions zake, "he is done".
He is done mafii yako?
 
Back
Top Bottom