BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Ahsante sana Nifah. Ubarikiwe sana.
Ni wewe au nimesoma vibaya?
Ni ajabu kuona ‘praise team’ ukiandika haya.
Hata hivyo umefanya vyema, ni muda sasa sote tuungane kukemea uonevu huu.





