Zitto: Wazomewe! Awataka CHADEMA warejeshe nyumba za Serikali

Zitto: Wazomewe! Awataka CHADEMA warejeshe nyumba za Serikali

Body tu ya Range Sport ni zaidi ya Carina sasa inakuwaje bei yavCarina?
Viwanja vya Masaki na Osterbay ni zaidi ya 2bilioni wewe unaona ni halali kuuzwa kwa tsh.8milion? Ikiwa wewe ni Mzalendo wa kweli

Kazi ipo! Hicho kiwanja au mgodi
 
Kuna ugojwa mpya umeingia " Jipu la ubongo " unasababisha na ubishi usio na mbele wala nyuma na mtu kujifanya haelewi wakati anajua vzr kabisa nina mashaka na nyie ndugu zangu!

Hata sisi tuna mashaka na wewe maana ccm ndiyo hii iliyotutawala miaka 53 na ndiyo chanzo cha ufisadi. Ebu nishawishi aliye safi ndani ya ccm?
 
Angalia ulichotuma kwanza kabla ya kuendelea kubishana

Sipo kwenye kubishana na nilikua sijui kama upo kwenye kubishana! Na sihitaji kubishana kabsaa' ila kwa nyie ukawa kwa ubishi mnatisha na kukumbatia madudu na miozo ya hali ya juu
 
Sipo kwenye kubishana na nilikua sijui kama upo kwenye kubishana! Na sihitaji kubishana kabsaa' ila kwa nyie ukawa kwa ubishi mnatisha na kukumbatia madudu na miozo ya hali ya juu

Niambi ni nani,malaika ndani ya ccm?
 
Mzee Rufiji,

Unajua I wish kungekuwa Realty Show ya bunge na wabunge wakiwa bungeni, unajua kama unakumbuka mambo ya darasani wakati tunasoma either shule ya msingi au secondary, ni yale yale ndani ya bunge,

Mle ndani wabunge huwa kama watoto wadogo, na ndipo ninaposema kuna mama mmoja ambaye kazi yake ilikuwa kusambaza picha za porno na sasa ni waziri, halafu viongozi wote huwa kwenye level moja hata PM mwenyewe,

lakini kitu kimoja tu ni kwamba siku zote kuna arrogance ya wabunge kujiona kuwa ni viongozi muhimu sana, na utai-notice hiyo pale tu wanapokuja wageni ambao si wabunge, na ndipo inapokuja issue ya vikatuni ukweli response ya spika na baadhi ya wabunge ni motivated na hiyo arrogance, ndani ya bunge kulikuwa na upinzani mkubwa kuwa waiache hiyo issue na waandishi waendelee na uandishi wao,

lakini kuna kundi moja la wabunge wachache ambao hawataki mabadiliko na kuelewa kuwa times have changed na kwamba waandishi kama comedians wanayo haki ya kueleza jinsia zao na kero za wananchi kwa kutumia sanaa (vikatuni na etc), lakini wao wakanga'ng'ania tuu na ndio ukaona Spika akapiga kelele kwa hiyo ikabidi kumuarifu mzee JK haraka sana na issue ikaisha hapo hapo,

Hii ndio faida ya kuwachagua viongozi waliochoka, katika kasi mpya kwani wao hutaka kurudisha time nyuma tuuuuuu!, kwa hiyo JK akakumbushwa kuwa hayo malalamiko against vikatuni sio sambamba na kasi mpya!

Mm sina shaka lolote na ccm kuendesha nchi sio kama unavyoendesha sebule yako hapo nyumbani so dosari za hapa na pale zaweza kutokea ila madudu yaliyo fanywa na richmind ndio yanapelekea utata wa umeme mpaka leo, umeme bado ni jinamizi bajeti ya kuupeleka vivijini ndio anayo ongea wandesha bodaboda, viongozi wa vyama na dini na pesa hzohzo zinaanza kuleta mpasuko hata huko alipo wanunulia
 
Sipo kwenye kubishana na nilikua sijui kama upo kwenye kubishana! Na sihitaji kubishana kabsaa' ila kwa nyie ukawa kwa ubishi mnatisha na kukumbatia madudu na miozo ya hali ya juu

Kama Kampeni Manager Kinana kamaliza meno yetu hapa hatuna hata moja mwakyembe kaleta Hasara ya mabehewa Ridhiwani sisemi maana ukurasa utajaa. Chenge, Mkapa, hawa wote
 
Kama Kampeni Manager Kinana kamaliza meno yetu hapa hatuna hata moja mwakyembe kaleta Hasara ya mabehewa Ridhiwani sisemi maana ukurasa utajaa. Chenge, Mkapa, hawa wote

Simple logic! Mf, umenunua gari ya kisasa na kwa kuwa unajua kuiwasha na kuiburuza barabarani na ww unaiwasha na kuiburuza' inafika muda wa service' oil inayofaa hyo gari ni 25000 per lt ww unaweka ya 6000 per lt na kuendelea kuiburuza, chombo siku kinakugomea mafundi mpaka uwaagize kutoka nje! Je umeuziwa gari bovu au mbovu ww usiye jua kulitumia! Ww mpaka ukaagize mafundi maana yake hata kutumia ulikuwa hukitumii inavyo stahili!
 
Wote wameoza hakuna jipya hapo
 
Wewe hajui chochote kesho.kama una mtu dar mwambie akuulizie

Nipo mikocheni labda ni muulize wa kijijini anipe update! Ndio nyie kitu kinauzwa sh50 mnaambiwa elfu 50 mnaingia wazima wazima ndio shida ya kuiba pesa ambazo hamna matumizi nazo kujua bei ya vitu ni shida na msivyo wazalendo mnalipa dola
 
Hapo mikocheni kuna viwanja vya milioni 40?
 
Nipo mikocheni labda ni muulize wa kijijini anipe update! Ndio nyie kitu kinauzwa sh50 mnaambiwa elfu 50 mnaingia wazima wazima ndio shida ya kuiba pesa ambazo hamna matumizi nazo kujua bei ya vitu ni shida na msivyo wazalendo mnalipa dola

Mimi nataka kiwanja Masaki cha 300milioni unaweza nipatia?
 
Back
Top Bottom