georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 589
Unaanza kurekebika tarrrrrrtiiiibu! Dawa itakuingia tu, endelea kuruka ruka
Wote wameoza ndani ya Ccm hakuna jipya usiwadanganye watu kusema alisema alisema.
Mwaka wa Lowasa huu
Unaanza kurekebika tarrrrrrtiiiibu! Dawa itakuingia tu, endelea kuruka ruka
Mbona vipo, ishu usikutane na madalali utauziwa hata kwa 300m
Wote wameoza ndani ya Ccm hakuna jipya usiwadanganye watu kusema alisema alisema.
Mwaka wa Lowasa huu
Mimi nataka kwako cha milioni 40 angalizo usitapeli hata muda tutapelekana mahakamani
Mbona sisiemu B mbona tunaihua ambayo ni UKAWA
Mtu mwenyewe ameanza kubebwa leo kupanda ngazi hizo ngazi za ikulu atapanda vipi huyo fisadi ikulu ataiona kwenye Tv au kwa ataenda kwa mwaliko.
Mbona sisiemu B mbona tunaihua ambayo ni UKAWA
Zitto kanifumbua macho! Kumbe anawajua walio chukua nyumba zetu' aisee wazirudishe tu na tukiwapa kura ndio watachukua na nchi yetu
Kama mmefikia hatua hii ya kumuita lowassa kimada basi mna hatari.Nyumba za serikali Magufuli zote aligawa kwa Vimada, Tarehe 26 oct Lowasa akiwa ndani ya ikulu ataanzisha mchakato wa kurudisha nyumba zote alizogawa Magufuli kwa vimada wake.
Kama mmefikia hatua hii ya kumuita lowassa kimada basi mna hatari.
.nyumba zenu?ulijenga wewe?jamani uongo asubuhi yote hii?Ooooooh!!! Waludisheee nyumba zetu bn. Alafu ndo waje watuombe kuraa