Zito amepoteza uhalali wa kuwa MPINZANI wa CCM. Hoja ya kuturudishia nyumba zetu ina mashiko lakini anapoona tone la maji (waliotoka CCM) na kutoiona bahari (waliobaki CCM) hapo anathibitisha kutumika kudhoofisha WAKOMBOZI
Hivi nani kawauzia nyumba hizo? Zitto nilikuheshim saana lakini sasa naona nisikuheshim. Vipi majina ya viongozi wenye akaunti za kibenki nje ya Tanzania. Nakuomba ututajie angalau kumi tu ila mkuu wa kaya sijui kama naye atakua nayo.
Kwani ulidhani MZEE MKAPA amekosea..?Duh! Kumbe Lowassa na sumaye ni wafaidika wa uuzwaji wa Nyumba za serikali.
Siasa za Chadema bwana full vituko.
Zitto hana nyimbo mpya ni sisemu B na tayari kabebwa na mafuriko ya UKAWA baada tu ya uchaguzi anapotea kwenye ramani ya siasa.
Mkitaka Kujua Kajamaa Kenu ni Ka Nafiki na ACT Nzima,
Kaoneni Hapa Chini, Hapa ni wakati ENL anaokoka na Kupokelewa Kwenye Utukufu wa UKAWA / CHANDEMA
Nyumba za serikali Magufuli zote aligawa kwa Vimada, Tarehe 26 oct Lowasa akiwa ndani ya ikulu ataanzisha mchakato wa kurudisha nyumba zote alizogawa Magufuli kwa vimada wake.
Mpinzani anapoamua kuwa mpinzani wa wapinzani
mbona mnajifanya vipofu na viziwi mnapoambiwa ukweli? Magufuli kwa niasaba ya serikali ameuza nyumba lakini Lowasa na Sumaye ndio wanufaika , warejeshe nyumba zetu kwanza hawa wasanii wa siasa.
Hahaha waitaimba sana mwaka huuu zitto nae kajitokeza katika gazetti la uhuru kazi wanayo 2015 aisee
Kwa taarifa yako ukawa baada ya uchaguzi ndio watapoteana na kupodeza dira ya upinzani tena Zitto ndiyo atabaki kua mpinzani pekee ukawa mmeuzwa na hamna jipya tenaZitto hana nyimbo mpya ni sisemu B na tayari kabebwa na mafuriko ya UKAWA baada tu ya uchaguzi anapotea kwenye ramani ya siasa.
Zitto hana nyimbo mpya ni sisemu B na tayari kabebwa na mafuriko ya UKAWA baada tu ya uchaguzi anapotea kwenye ramani ya siasa.
Seke seke za hizi nyumba hazina dhambi yeyote mtu kununua kwa sababu serikali inazo nyingi na muda mwingine hata service hazifanyiwi isitoshe zina gharama zisizo kuwa na tija kwa serikali so wakaamua kuzitoa kwa watumishi wa umma magufuli alizitoa kwa askari tena bure hawalipii kodi ya aina yeyote nyingine anae weza nunua ana nunua na huu ni utaratibu wa nchi nyingi tu sasa bhasi sisi tusio jua mbele wala nyuma na elimu yetu finyu tunaona tunaibiiiwa! Hata ww kama unayo pesa ya kuzi nunua hukatazwi na zinatangazwa maramara na hizo ni serikali inapunguza cost zisizo na tija kuzikarabati na kuzitoa ni kukunufaisha mwananchi wake! Fuatilieni vzr na hili hata huyo SUMAYE ALILIONGELEA LABDA AJIKANE NA ASEME ALIEONGEA NI PACHA WAKE!
Zitto kanifumbua macho! Kumbe anawajua walio chukua nyumba zetu' aisee wazirudishe tu na tukiwapa kura ndio watachukua na nchi yetu
Seke seke za hizi nyumba hazina dhambi yeyote mtu kununua kwa sababu serikali inazo nyingi na muda mwingine hata service hazifanyiwi isitoshe zina gharama zisizo kuwa na tija kwa serikali so wakaamua kuzitoa kwa watumishi wa umma magufuli alizitoa kwa askari tena bure hawalipii kodi ya aina yeyote nyingine anae weza nunua ana nunua na huu ni utaratibu wa nchi nyingi tu sasa bhasi sisi tusio jua mbele wala nyuma na elimu yetu finyu tunaona tunaibiiiwa! Hata ww kama unayo pesa ya kuzi nunua hukatazwi na zinatangazwa maramara na hizo ni serikali inapunguza cost zisizo na tija kuzikarabati na kuzitoa ni kukunufaisha mwananchi wake! Fuatilieni vzr na hili hata huyo SUMAYE ALILIONGELEA LABDA AJIKANE NA ASEME ALIEONGEA NI PACHA WAKE!
Watumishi wengi wa serikali waliokuwa wanaishi kwenye nyumba hizo waliuziwa, wengn bado wanakatwa kwenye mshahara hadi sasa. Hata ww ungepata hiyo nafasi ungeitumia! Maana nyumba ziko maeneo mazuri, mf dar ziko osterbay! Halaf zina maeneo makubwa