singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
zito hana nyimbo mpya ni sisemu B na tayari kabebwa na mafuriko ya UKAWA baada tu ya uchaguzi anapotea kwenye ramani ya siasa.
Mbona sisiemu B mbona tunaihua ambayo ni UKAWA
ZITTO Anataka kununuliwa tena,labda hela ya kampeni imeisha hivyo anataka aongezewe na Waliomtuma kudhoofisha wapinzani.........
mbona mnajifanya vipofu na viziwi mnapoambiwa ukweli? Magufuli kwa niasaba ya serikali ameuza nyumba lakini Lowasa na Sumaye ndio wanufaika , warejeshe nyumba zetu kwanza hawa wasanii wa siasa.
warudishe nyumba zetu
Zitto kanifumbua macho! Kumbe anawajua walio chukua nyumba zetu' aisee wazirudishe tu na tukiwapa kura ndio watachukua na nchi yetu
Watanzania nani katuloga? Bango ashikiwe mnunuzi na vipi muuzaji na muhongaji je?
Watanzania nani katuloga? Bango ashikiwe mnunuzi na vipi muuzaji na muhongaji je?