Zitto: Wazomewe! Awataka CHADEMA warejeshe nyumba za Serikali

kila siku nasema!!jaman kula za watanzani hawez kwenda kwa wez na mafisad tena matapel ya kisiasa!!!walejeshe na mashamba na ranch za taifa huko morogoro
 
WAYOUT tafaari vizuri hata Mapoda ya kulevya anashikwa teja mnunuzi tuu myuzaji na msafirishaji (punda) muuzaji( mfanya biashara) hajawahi kusikwa na hata Mkaa njiani huko anashikwa mnunuzi muuzajihashikwe, jamani pia muuza gongo/chang'aa kule Msonga hashikwi wanashikwa wanyaji tuu. ONLY IN TZ

Seke seke za hizi nyumba hazina dhambi yeyote mtu kununua kwa sababu serikali inazo nyingi na muda mwingine hata service hazifanyiwi isitoshe zina gharama zisizo kuwa na tija kwa serikali so wakaamua kuzitoa kwa watumishi wa umma magufuli alizitoa kwa askari tena bure hawalipii kodi ya aina yeyote nyingine anae weza nunua ana nunua na huu ni utaratibu wa nchi nyingi tu sasa bhasi sisi tusio jua mbele wala nyuma na elimu yetu finyu tunaona tunaibiiiwa! Hata ww kama unayo pesa ya kuzi nunua hukatazwi na zinatangazwa maramara na hizo ni serikali inapunguza cost zisizo na tija kuzikarabati na kuzitoa ni kukunufaisha mwananchi wake! Fuatilieni vzr na hili hata huyo SUMAYE ALILIONGELEA LABDA AJIKANE NA ASEME ALIEONGEA NI PACHA WAKE!
 
Unayedhani Zitto atapotea katika siasa pole.

mi huwa na sema watu wajifunze kuwa na akiba ya maneno. Huyo ZZT huwa hatabiriki atawatoa roho kama mnabisha endeleeni kumuchokonoa. mwaka huu ntaona mengi na ndio kwanza hatujakaribia siku zenyewe zile za amsha amsha.
 
Nyumba za serikali Magufuli zote aligawa kwa Vimada, Tarehe 26 oct Lowasa akiwa ndani ya ikulu ataanzisha mchakato wa kurudisha nyumba zote alizogawa Magufuli kwa vimada wake.
 
kila siku nasema!!jaman kula za watanzani hawez kwenda kwa wez na mafisad tena matapel ya kisiasa!!!walejeshe na mashamba na ranch za taifa huko morogoro
Tena ngoja mahakama ya mafisadi ianze hawa mafisadi wakiongozwa na mafisadi Lowasa na sumaye wataipata.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Nyumba za serikali Magufuli zote aligawa kwa Vimada, Tarehe 26 oct Lowasa akiwa ndani ya ikulu ataanzisha mchakato wa kurudisha nyumba zote alizogawa Magufuli kwa vimada wake.
Mtu mwenyewe ameanza kubebwa leo kupanda ngazi hizo ngazi za ikulu atapanda vipi huyo fisadi ikulu ataiona kwenye Tv au kwa ataenda kwa mwaliko.
 
mbona mnajifanya vipofu na viziwi mnapoambiwa ukweli? Magufuli kwa niasaba ya serikali ameuza nyumba lakini Lowasa na Sumaye ndio wanufaika , warejeshe nyumba zetu kwanza hawa wasanii wa siasa.

Wamenunua sasa zile alizompa Kabula je naye alikuwa anafanya Idara gani
 
Seke seke za hizi nyumba hazina dhambi yeyote mtu kununua kwa sababu serikali inazo nyingi na muda mwingine hata service hazifanyiwi isitoshe zina gharama zisizo kuwa na tija kwa serikali so wakaamua kuzitoa kwa watumishi wa umma magufuli alizitoa kwa askari tena bure hawalipii kodi ya aina yeyote nyingine anae weza nunua ana nunua na huu ni utaratibu wa nchi nyingi tu sasa bhasi sisi tusio jua mbele wala nyuma na elimu yetu finyu tunaona tunaibiiiwa! Hata ww kama unayo pesa ya kuzi nunua hukatazwi na zinatangazwa maramara na hizo ni serikali inapunguza cost zisizo na tija kuzikarabati na kuzitoa ni kukunufaisha mwananchi wake! Fuatilieni vzr na hili hata huyo SUMAYE ALILIONGELEA LABDA AJIKANE NA ASEME ALIEONGEA NI PACHA WAKE!

Kuna tofauti na anayetoa chake na anayehonga mali ya Umma

Pitia pitia hapo kidogo kabla hujapata jipu la ubongo kwa kutokuwa muelewa
 
Wewe umelogwa sana nyumba hazina tija sasa ndiyo ziuzwe shiling milioni 8 hadi 40milioni nyumba ya masaki? Wakati kiwanja tu bilioni 2
 
kila siku nasema!!jaman kula za watanzani hawez kwenda kwa wez na mafisad tena matapel ya kisiasa!!!walejeshe na mashamba na ranch za taifa huko morogoro

Mbona humusemi Ridhiwani anayemiliki zaidi ya nusu ya mali ya Tanzania?
 
Pitia pitia hapo kidogo kabla hujapata jipu la ubongo kwa kutokuwa muelewa

Najua huna uelewa wowote mpaka sasa wewe.
Uhuru alikuwa na kashifa nyingi hata za mauji lakini ndiye Rais.
Mwai Kibaki alikuwa na kashifa kibao kamaliza muda wake.
Na hapa tumeamua kwa Lowasa hata muongee nini tunajua ni nyinyi wezi mnaonufaika na mfumo wa CCM.
Sisi kwa Lowasa tu.
 
nnavyo wajua hao kina lowasa na sumaye kama maneno ya zito ni ya kweli ndani ya siku tatu watatangaza kuzirudisha hizo nyumba serikalini
 
Wewe umelogwa sana nyumba hazina tija sasa ndiyo ziuzwe shiling milioni 8 hadi 40milioni nyumba ya masaki? Wakati kiwanja tu bilioni 2

Unaweza ukanunua hata range sport kwa bei ya carina inategemea umeikutaje! Unaweza kuta haina engine au mbovu, body ya kuunga unga taa haina, ma bush, suspension, gear box vyote kanyanga, nayo utataka uuziwe bei sawa na ikiwa nzima? Nyumba unaikuta haina mbele wala nyuma unaanza kuikarabati upya na kiujenzi kukarabati nyumba ambayo haieleweki ni ghali kuliko kuijenga upya! Nyumba zipo nyingi serikali inawapa mjikwamue kwenye kupanga mnapiga mikelele' tofali la kuchoma sh 130 mpaka 150 na bado mpaka leo watu hawana makazi maalumu leo mnapewa nyumba bure mnajamba jaaamba!
 
Tunataka mabadiliko il a lazima ya mabadiliko yanayoletwa na waadifu siyo lowasa, sumae, mbowe na lisu wamepoteza integrity
 
Najua huna uelewa wowote mpaka sasa wewe.
Uhuru alikuwa na kashifa nyingi hata za mauji lakini ndiye Rais.
Mwai Kibaki alikuwa na kashifa kibao kamaliza muda wake.
Na hapa tumeamua kwa Lowasa hata muongee nini tunajua ni nyinyi wezi mnaonufaika na mfumo wa CCM.
Sisi kwa Lowasa tu.

Wewe ndiwe uliyeanza kuita wapumbafu wenzio huoni kama huna huja.kaa kimya.

Kuna ugojwa mpya umeingia " Jipu la ubongo " unasababisha na ubishi usio na mbele wala nyuma na mtu kujifanya haelewi wakati anajua vzr kabisa nina mashaka na nyie ndugu zangu!
 
Unaweza ukanunua hata range sport kwa bei ya carina inategemea umeikutaje! Unaweza kuta haina engine au mbovu, body ya kuunga unga taa haina, ma bush, suspension, gear box vyote kanyanga, nayo utataka uuziwe bei sawa na ikiwa nzima? Nyumba unaikuta haina mbele wala nyuma unaanza kuikarabati upya na kiujenzi kukarabati nyumba ambayo haieleweki ni ghali kuliko kuijenga upya! Nyumba zipo nyingi serikali inawapa mjikwamue kwenye kupanga mnapiga mikelele' tofali la kuchoma sh 130 mpaka 150 na bado mpaka leo watu hawana makazi maalumu leo mnapewa nyumba bure mnajamba jaaamba!

Body tu ya Range Sport ni zaidi ya Carina sasa inakuwaje bei yavCarina?
Viwanja vya Masaki na Osterbay ni zaidi ya 2bilioni wewe unaona ni halali kuuzwa kwa tsh.8milion? Ikiwa wewe ni Mzalendo wa kweli
 
Back
Top Bottom