Edward Sambai
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 2,822
- 3,832
[FONT=times new
roman]Habari za asubuhi wadau, mimi naomba kuwarushia lawama
hasa viongozi hawa hasa Mbowe na Zitto, wote ni viongozi makini ambao
wanahitajika katika harakati za mabadiliko ya haraka ndani ya nchi hii.
Namtaja mbowe kwakuwa ndiye ameshikilia usukani wa CHADEMA, kweli mh.
Imeshindikana kumuita Zitto Kabwe na kushauriana na kuondoa tofauti
zilizopo ukiangalia mmetoka na mmekitoa mbali chama.
Je, kama mnaweza mkawa mnatafuta suruhisho na hao CCM na kuonana na
viongozi wa CCM itashindikana vipi kupata suruhisho kwa mpambanaji?
Hatupendi kuona heading kwenye magezeti kuwa mgogoro unaendelea. Nawe
Zitto kaka yangu kwanini usikubari yakaisha?
[/FONT]
Mbona unamjadili aliekufa kwenye kundi la walio hai?
ZZK is carion sio vizuri kuchanganya mambo ya Chadema paoja na huu mzoga.