Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Not to discredit his honourable efforts in fighting corruption or adding salt to the wound on his current party plights. Nevertheless Zitto has issues and I think he needs to get his ego checked. Personally I like to listen to interviews from all sorts of people in public life in Tanzania from village leaders all the way to senior minister and the president you always learn. However I must admit I can not listen to Zitto's interview from beginning to end without skipping it to find main point especially if it happens be to a long one for one simple reason it is always I chaired, I initiated, I this or I that: Khaa.

Someone needs to tell him in politics success is defined in pluralism let the commentators single you out for being the maverick that you think you are (if it is that important pay a journalist to tell the extent of those efforts you did privately) but not yourself especially orally it makes a person comes across as arrogant.

It is understood in election times a politician can pledge directly to the voters apart from that it should always be;us, we, our team, the committee, our party, our view point etc to do with acknowledging team members even if you were the protagonist. Ndio maana unaona wenzake ata huko chamani wanakerekwa kama mimi nimesikiliza interview chache nimehitimisha hivyo hao jamaa anaokaa nao kila saa si ndio atawachosha kabisa mwanzo nilikuwa nadhani ni wivu lakini he needs to change kwakweli vinginevyo matatizo ayatoishia cdm bali popote atakapo enda.
 
Pokea like mkandara.

Pamoja ya Kwamba sikuweza kuhisi kabla Kwamba zito na mbowe wanagombanishwa kwa makusudi, lakini siku zote nimekuwa na nineendelea kusimamia Kwamba zito si msaliti wa cdm. But very unfortunate, kutokana na ukweli Kwamba jukwaa hiki Lina watoto wengi Sana, wamekua wakiishia kumtukana zito na wale wanaoonekana kumtetea as if mbowe ni malaika.

Lets wait and see maana soon atahamia ACT, sijuhi utasema nini.
 
Haishi unafiki,ukiwa kijana ukawa mnafiki basi ukizeeka utakuwa mchawi!!!
Uchawi kule kwao haujui uzee wala ujana, ni jadi. Amewahi kututambia uchawi humuhumu JF eti atateketeza hadi vifaranga vyetu.
 
Siyo kwa wanasiasa. All of them think they are better than the other and also thinks if it was not for 'him' CHADEMA would not have been where it is now!

Sijaelewa umeandika nini labda kwa vile hujanijibu mimi na huyo uliyemjibu sikumpata kujua alimaanisha nini. Kwa ufupi tu, ZITTO NI KIRUSI HATARI KULIKO EBOLA
 
kaka yako anasema jinsi alivyoimiss cdm akikumbuka analia sana...ametubu ndugu zitto hana budi kusamehewa

Kumsamehe zitto ni vigumu sana. Ni rahisi kwa Pope kuslimu kuliko Zitto kusamehewa
 
Not to discredit his honourable efforts in fighting corruption or adding salt to the wound on his current party plights. Nevertheless Zitto has issues and I think he needs to get his ego checked. Personally I like to listen to interviews from all sorts of people in public life in Tanzania from village leaders all the way to senior minister and the president you always learn. However I must admit I can not listen to Zitto's interview from beginning to end without skipping it to find main point especially if it happens be to a long one for one simple reason it is always I chaired, I initiated, I this or I that: Khaa.

Someone needs to tell him in politics success is defined in pluralism let the commentators single you out for being the maverick that you think you are (if it is that important pay a journalist to tell the extent of those efforts you did privately) but not yourself especially orally it makes a person comes across as arrogant.

It is understood in election times a politician can pledge directly to the voters apart from that it should always be;us, we, our team, the committee, our party, our view point etc to do with acknowledging team members even if you were the protagonist. Ndio maana unaona wenzake ata huko chamani wanakerekwa kama mimi nimesikiliza interview chache nimehitimisha hivyo hao jamaa anaokaa nao kila saa si ndio atawachosha kabisa mwanzo nilikuwa nadhani ni wivu lakini he needs to change kwakweli vinginevyo matatizo ayatoishia cdm bali popote atakapo enda.
After being discredited kwa yote alokwisha yafanya, kutengwa na hata kutupwa kama mbachao! nadhani Zitto anafanya makusudi kuwakumbusheni, maana hawaushi kumwita msaliti. Kumbuka pia interviews nyingi za Bongo huwa zina leading question. Utasikia mtangazaji akisema nasikia unaitwa msaliti?.
Chukua muda usikilize mahojiano ndipo utajua kwamba Kibongo bongo watu wanatafuta majibu wayatakayo.
 
Well that is were the art of public speaking is supposed to show. Wewe atakama mtu kakupa swali la mtego na inabidi umkumbushe ulichowafanyia wengine aina maana usijue tofauti ya lugha utakayo itoa kwa baba mkwe kumwambia jinsi gani binti yake asivyo na shukurani wala fadhila na lugha ya kutoa kwenye media where you were part of the team.

Unapoongea kwenye jamii jua wazi people will interpret differently kutokana na uwezo wao wa kielimu ni sawa kama unataka kumu impress bwana muba sijui mubi wa mkasi, lakini kuna msikilizaji wa nje ataona huyu jamaa vipi? Mfano unaweza ona sawa kusema mimi nilianzisha motion ya kupeleka bungeni ya kutaka PM atoke, tayari umeshawaweka washirika wako pembeni. How about CDM tuliona huyu bwana afai kupitia mimi tukaanzisha motion ya huyu bwana an'goke, isitoshe mimi nikawashawishi wabunge wote waunge mkono, ina maana after the motion wenzako hawakuku support hili wengine wakuunge mkono? you are making it as if the others were not important in the success of that motion those things are a put off kwa wengine.

Sasa imagine mimi simjui zitto lakini kupitia wanachama wenzake ambao wameshanipa hint za kuwa huyu ni mwanasiasa anayependa sifa sio team player na mengineo to do with selfishness wanazotoa JF. Lakini kwakuwa ni mtu mzima na akili zangu nachukua kama half baked story itabidi nisikilize na upande wa Zitto halafu nakutana na interview kama ile ya Mkasi kumbuka maneno yanakuja spontaneously and transient (short lived) sina muda wa kutafakari zaidi wala yeye atoi maudhui ya kutosha kwanini alibidi afanye mwenyewe na kwanini ataji timu yake si ntaona huyu jamaa ni egoist.

Hata pale anaposema kamati za bunge utasikia kamati ya PAC mimi (always anaanza na I) ndio kiongozi wao kazi yetu ni abc, by the end it seemed even 'Salama Jabir' had heard enough and was not impressed (the evidence was in the body language) maana sio kawaida yake kumaliza interview vile mara nyingi utamsikia muda autupi nafasi na mengineo ya kumaliza kwa ustaarabu lakini pale ilikuwa enhe na nyie pia mmeishiwa maswali tuishie hapa, i dont know how you rate those things to me the're boring ndio maana wanasiasa huwa awatumii first person kwa sababu ya kutambua ushiriki wa wengine.

By the way mimi siongelei mambo yao ya internal naongelea matatizo mengine niliyo ya notice passively.
 
I think huu uamuzi ni wa ZITTO mwenyewe, wwaliobaki ni washabiki tu , hawawezi kuchukua uamuzi kwa niaba yake.Wanachoweza kufanya ni kumchochea, atakaloamua mwenyewe atajua mwenyewe na mungu wake.

Wanachokifanya ACT ndiocho walichokifanya CDM 2005-2010, Historia inaonesha walikusanya able and non able. Ndio maana ukifungua thread inayohusu CDM leo hii hapa JF nusu ni matusi.

CDM Kumejaa takataka,wanayaziba hata yale mazuri waliyoyafanya. ACT haiwezi Kuhukumiwa mapema hivi, kwani 2005 CUF ndio ilikuwa chama KIKUU cha UPINZANI, nao wangeweza kuidismiss CDM kama tawi la CCM,lakini leo hii kiko wapi? Ngangari imebaki zenji tu.

Siasa za TZ inabidi ufyatuke kidogo, ndio maana straight people kama kina ZITTO wanaonekana kama wehu, halafu wale mazumbukuku kama kina LEMA ndio wanaonekana MAKAMANDA. Kazi ipo

Napenda Wenye Akili kama ww. Na sio Yale mafala kazi yao kutukana ma kujifanya ndio cdm damu kuliko watu wengine.
 
Ukweli mara zote umuacha mtu huru,tumtukane,tumkashifu na kumcheka but still ZZK is not a push over,kwenye siasa za TZ he's still ringing.

Kakudanganya nani...? Zitto ni sawa takataka jalalani ambayo hata kunguru hadhubutu kuinusa...
 
Pokea like mkandara.

Pamoja ya Kwamba sikuweza kuhisi kabla Kwamba zito na mbowe wanagombanishwa kwa makusudi, lakini siku zote nimekuwa na nineendelea kusimamia Kwamba zito si msaliti wa cdm. But very unfortunate, kutokana na ukweli Kwamba jukwaa hiki Lina watoto wengi Sana, wamekua wakiishia kumtukana zito na wale wanaoonekana kumtetea as if mbowe ni malaika.

Nyie ndo walewale wanafiki...Zitto akafie mbele....Siku Chadema wakimrudisha huyu laana nitakidharau hiki chama daima....
 
mkuu hapana "wafitini" ni "mabilioni ya dear wa ujerumani"

lakini hapana "wafitini" walihack acc yake facebook na wakaandika "namtaka mama yao siwataki vifaranga"

haiwezekani "wafitini"walimsingizia yeye sio "mm"

itakua nimesahau "wafitini"walimchongea kwa mbowe asimnunulie "chips" tena

hapana "wafitini" walimsaidia kwenda mahakamani sio yeye aliyefungua hiyo kesi

hawa "wafitini" hawa sio wazuri kabisa hatA ule mkutano wa "serena" wafitini ndio waliouandaa yeye hajui kabisa kuhusu ule mkutano

"wafitini"sio watu wazuri kabisa wanamsingizia zzk wa watu

inahitaji moyo mgumu kumuamini huyu mtu

siku hizi zzk hapa jf hana tofauti na le mutuz

Pokea heshima zote kutoka kwangu....Nikikumbuka kipindi kile natamani nimpige risasi huyu ZZK..
 
Wala hujakosea mimi msukule wa ZZK haswaaa isipokuwa wewe? Kama mimi wa ZZK wewe wa nani? maana msukule atamjua mwenzake kwani wote hawana kauli. Kifupi haya ni maoni yangu huna sababu ya kutoka povu, unaweza yasikiliza ama kuyapuuza, chaguo ni lako.

Nani asikilize maoni yako we mpuuzi tuuu......Watasikiliza hao kina ZZK na wapuuzi wenzako wengine.....

Huyu ZZK ni laana..
 
Ndugu hujawahi kukutana na watu wenye Msimamo.Ulitaka Zitto aende kinyume na Msimamo wake kwasababu ya kupewa amnesty na Mbowe?

Historia huhukumu watu baada ya miaka mingi sana, binafsi nitamhukumu Zito kwa kusimamia alichokiamini, kama bado anakiamini, nacho ni Demokrasia ya wazi na ya kweli ambayo CDM wanaipigania.

Sitampa KURA Milele mwanasiasa asiye na AMBITION, Hafai kuwa KIONGOZI, Kiongozi ni mtu anayefikiria kufanya maamuzi na sio kusubiri aamuliwe, au kufuata mkumbo.

Nadhan ndugu Tuko umesahau kuwa career ya zitto ni SIASA, na Mwanasiasa bila Madaraka wala UMAARUFU huitwa, kada wa chama, aka Mshabiki, ZITTO is Many things but Sio MSHABIKI.

Basi atumie huo uana siasa wake akakindeleze Chama chake ACT...
 
Mdogo wangu Zitto kule kwetu kuna usemi usemao ' ukiwa mnafiki ujanani ukiwa mzee utakuwa mchawi' na sasa ndiko unakoeleka. Undumi la kuwili wako utakutesa sana huko mbeleni hasa kwa tabia yako ya kutanguliza maslahi yako binafsi!
 
Safi sana mkandara. Kuna watu humu ndani wanajiona wao ndio Pekee Wenye kufahamu ukweli na Wenye haki ya kutoa mawazo yao. Wenzao wakitoa ni wendawazimu na hawajui knachoendelea na wala hawaitakii mema cdm.

Kwamba mawazo yako lazima yafanne na ya kwao tu Ili uweze kuwa sahihi.

Ndio maana kwa hoja hizi za kizembe Huwa naishia kuwa msomaji.

Peleka uhuni hukooo.....Nyie wapsmbe nuksi mnataka kuaminisha umma eti CDM haina mvuto bila muhuni Zitto....????? Mnajidanganya sana.....

Huyu Zitto pamoja na nyie mkafie mbele huko....Laaanakum
 
I think huu uamuzi ni wa ZITTO mwenyewe, wwaliobaki ni washabiki tu , hawawezi kuchukua uamuzi kwa niaba yake.Wanachoweza kufanya ni kumchochea, atakaloamua mwenyewe atajua mwenyewe na mungu wake.

Wanachokifanya ACT ndiocho walichokifanya CDM 2005-2010, Historia inaonesha walikusanya able and non able. Ndio maana ukifungua thread inayohusu CDM leo hii hapa JF nusu ni matusi.

CDM Kumejaa takataka,wanayaziba hata yale mazuri waliyoyafanya. ACT haiwezi Kuhukumiwa mapema hivi, kwani 2005 CUF ndio ilikuwa chama KIKUU cha UPINZANI, nao wangeweza kuidismiss CDM kama tawi la CCM,lakini leo hii kiko wapi? Ngangari imebaki zenji tu.

Siasa za TZ inabidi ufyatuke kidogo, ndio maana straight people kama kina ZITTO wanaonekana kama wehu, halafu wale mazumbukuku kama kina LEMA ndio wanaonekana MAKAMANDA. Kazi ipo

Mnafiki mkubwa wewe.......Kwataarifa yako takataka kwa asilimia kubwa zimeshajiondoa CDM zenyewe akiwemo takataka ZZK na genge la wahuni wenzake...

Sasa huyu takataka ZZK aende huko ACT basi maana bado mda upo na chama kitakuwa..Hahahahahaha...

CDM ni hahari nyingine ndugu......
 
Back
Top Bottom