Hili suala lipo crystal clear ni upotezaji wa muda. Hivi tunategemea nini kutoka ktk Bunge lenye kutawaliwa na over 90% CCM? Huhitaji kuwa rocket scientist kujua hili.
Mbona mnai over-look nidhamu ya chama? wanaweza wakawepo wabunge wengi wa CCM wenye ku sympathize na Zitto kwa nia njema tu lakini inapofika mahala pa ku-stand and be counted ndio kimbembe...
Kwa hiyo mkuu Msatu, unasema wananchi Millioni 40, tusifanye kitu ka sababu tu ya hii argument yako mkuu? Kwamba kwa sababu viongozi hawawezi kusimama wahesabiwe basi tusiwabughudhi hata kama ni faida ya taifa letu la baadaye?
Kweli unasema hii ni right approach mkuu?
Solution ya hii ipo ktk posts zangu za awali yaani kufuata Dr Slaa approach kuwashtaki hawa wawakilishi wetu kwa hao Mil 40 ili tuwang'oe.
Hope its clear now
Can the parliament undo what it has already done and implemented?
Mawazo ya busara? nani Six huyu huyu au mwingine?
Hapa hakuna lolote ni wastage of time and resources Zitto ushaona mtaji wako wa umaarufu unafifia umeona bora uufufue upya!!
Good try mate....
Masanja hata nami naungana na wewe na maelezo yako mengi tu. Labba nianze kwa kusema suala la kuhukumu wezi mitaani kwa sababu tu tunajua hatuwezi kupata sheria mahakamani nami pia nalipinga, lakini mkuu ktk hili la Zitto ni zaidi ya hapo.
Mengi yamesemwa kwenye mikutano na forums na kila mtu anajua kuwa uamuzi ule ulikuwa ni wa kionevu, kinachoni kereketa mimi hapa ni kuona Zitto anataka kulifanya jambo hili kama mtaji wake wa kisiasa, na kusahau kuwa anaendeleza yale yale maana ushakuwa mduara sasa kuanzia hoja binafsi, maelezo ya Zitto, maelezo ya waziri, azimio la kumfungia, mikutano mwembe yanga, jangwani na mikoani na sasa tunarudi tena bungeni. Kitu cha muhimu kujua hapa ni haya yote yana gharimiwa na sisi walalahoi!
Mimi nadhani hapa tujaribu kuwa na 3D approach in our assessment on this saga. Kama historia kwa vizazi vijavyo mbona ishaandikwa na kila mtu analijua hilo sasa. Ndio maana nikasema approach ya Dr Slaa ni nzuri zaidi yeye kaenda kwenye mzizi badala ya matawi, tuwashtaki hawa mafisadi kwa wananchi wananchi watawang'oa bungeni na baadae kwenye urais then tutafika lakini kwa mtindo huu wa kuwarudishia kesi wajihukumu "wenyewe" Im afraid to say tunacheza mduara.
Lunyungu
Hayo ndio yanaitwa mawazo hodhi.. unadhani vita hii ya ufisadi ni yako wewe na wengine wachache la hasha.. ur missing the point na ndio maana utabaki kusema "nimetumwa" nimepewa mlungula and other name calling bs usidhani ni vita yako peke yako tupo wengi labda bahati mbaya sana approach zako mwenzetu ni too amateurish!
Una haki ya kusema na kudhani utakavyo!
Mkuu Masatu,
Mimi nakuelewa una maana gani lakini ni ngumu kwa watu wengi kukuelewa kwasababu ya mapenzi na mara nyingi tunaangalia jambo kwa black and white.
Ila tu mimi naona approach wanazotumia Zitto na Dr. Slaa zote zinafaa. Dr. Slaa ni mtu mzima, busara nyingi na umakini mwingi na anawafunga kamba mafisadi taratibu, wanaotaka kujiokoa hujikuta wananaswa zaidi na zaidi kama samaki mjanja kwenye wavu.
Mapambano ya Dr. Slaa hayawezi kufanikiwa bila nguvu ya vijana kama Zitto. Huyu ni jemadari, anasema give me my machine gun, I want to fight, hawa ndio akina Zuma wetu ambao bila kukubali kupambana na kuwa tayari kujitoa mhanga, hatuwezi kufanikiwa, wala akina Dr. Slaa hawawezi kufanikiwa.
Demokrasia ina gharama zake na kinachoendelea sasa ni sawa na mzunguko lakini pi unaweza kuwa muarobaini wa siasa ili kusafisha bunge na pia kuwaumbua hawa viongozi wetu ili wajue maamuzi yasiyo ya haki wanayochukua, kuna siku yanaweza kuwatokea puani. Ni bora tuendelee na mduara wetu mpaka kieleweke.
Zitto anaweza kufaidika na mapambano haya, lakini atakayefaidika zaidi ni sisi wananchi ambao tumechoka kuburuzwa.
Mawazo ya busara? nani Six huyu huyu au mwingine?
Hapa hakuna lolote ni wastage of time and resources Zitto ushaona mtaji wako wa umaarufu unafifia umeona bora uufufue upya!!
Good try mate....