Duh! Zitto umeongea jambo la msingi nimeona tija ya wewe kuwa mchumi! ukweli njaa inakuja.
Mmh,sijui hapo kwenye pay roll cost,maana kama mshahara haujawahi kupanda kwa wavuja jasho,halafu kufikiria kuwapa watu mshahara wasioufanyiakazi,unaweza ukasikia kuwa hata biblia imekataza,asiyefanyakazi na asile,ikawa stop.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kwenye utalii ndiyo palitufanya kuwa mabubu wa Ebola mpaka Pompeo alitusuta.