Zitto: Taarifa ya TRA kukusanya trilioni 2 ni ya kubumba

Zitto Kabwe ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa Twitter

“Taarifa ya makusanyo ya kodi iliyotolewa na TRA leo kuwa Desemba wamekusanya shs 2T naamini ni ya kubumba....
Awamu ya 5 ishazoeleka sasa na tabia yake maarufu ya ndege aitwaye mbuni (ostrich).

Tabia ya mbuni mwisho wake huwaga ni pale muda ukifika!
 
TRA watupe na breakdown ya hayo makusanyo kama zamani. Hongereni serikali ya awamu ya tano big up ila sasa sisi wananchj tunataka tuone huduma inalingana na kukamuliwa huko ikiwemo refund za VAT kwa mashirika yenye exemption kwa kuwa wanadai hela nyingi sana na hayo makusanyo hizo zimo.
 
Zitto Kabwe ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa Twitter

“Taarifa ya makusanyo ya kodi iliyotolewa na TRA leo kuwa Desemba wamekusanya shs 2T naamini ni ya kubumba..
TRA wengi huwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara hawashindwi kupika data feki za makusanyo kwani TRA ya sasa haifanyi kazi kwa mujibu wa Sheria bali kwa mujibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu.
 
Kama hajaongeza mishahara ya wafanyakazi kwa miaka 6 sasa, kwanini ashindwe kuhamamishia serikali Dodoma?
Shifting goal posts!
Ukishindwa kwenye hili unakimbilia lile.

Wage bill(gharama ya mishahara) imeongezeka sana kutokana na kuajiri wafanyakazi wapya, kulipa madeni ya wafanyakazi na kupandisha madaraja. Kwa hiyo siyo kweli kwamba saving ya mishahara imesababisha kuhamia Dodoma.
 
TRA watupe na breakdown ya hayo makusanyo kama zamani .Hongereni serikali ya awamu ya tano big up ila sasa sisi wananchj tunataka tuone huduma inalingana na kukamuliwa huko ikiwemo refund za VAT kwa mashirika yenye exemption kwa kuwa wanadai hela nyingi sana na hayo makusanyo hizo zimo.
Mabenk yanalalamika wafanyabiashara kukosa imani na mabenk baada ya TRA kwenda kufunga Account zao kienyeji kisha kuwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara kwa njia haramu za kishetani, tunapoelekea wafanyabiashara wakubwa watahamia Nchi Jirani wote wamechoka kubambikiwa kodi na baadhi ya maofisa vinara wa Rushwa
 
Umaarufu hautafutwi kwa nguvu huja kwa maarifa na matumizi ya akili.

Serikali imetoa taarifa kwa wananchi kwamba mwezi December 2020 imekusanya kodi tsh trillion 2.

Anaibuka mtu anabisha kwamba siyo kweli na kwamba yeye ndio atatoa taarifa sahihi baada ya kupitia makabrasha ya BoT.

Huyu Zitto Kabwe ni nani hasa maana hata bungeni hayumo?

Maendeleo hayana vyama!
 
Mnajisifu kutuumiza na makadirio na faini za hovyohovyo,makusanyo ya dhuluma,mamlaka inakusanya kodi kibabe,inabambikia wafanyabiashara kesi mbaya za uhujumu uchumi,hamshangai wananchi waliopaswa kuwapongeza wanawazodoa badala yake mnajipongeza wenyewe,kama mnaona wafanyabiashara wanafaidi hemu acheni kazi nanyinyi mfanya biashara muone.
Sasa wamezifanya Benk kukosa imani toka kwa wafanyabiashara kisa huenda kufunga Account za wafanyabiashara kienyeji kwa njia haramu za kishetani kuwabambikia kodi hewa za uonevu, TRA ya awamu ya Tano ni waonevu na wanyanyasaji wakubwa kwa wafanyabiashara
 
Kwani anaoongea uongo kila kitu? Isitoshe tuna akili timamu, tunaweza kupima upi ni ukweli, na upi ni uongo. Ni kweli Zito sio wa kuaminika, lakini uongo wa Zito una afadhali kuliko wa jiwe na serikali yake.
Kwenye TRA kuwahadaa watanzania Zito yupo sahihi
 
Back
Top Bottom