Hii hoja ya kuongeza mishahara hii!!!!!!Mbona halipi madeni ya wafanyakazi na kuwapandishia mishahara
Hakuna kitu kinafanywa na CCM kikawa sawa kwa 100%Kama wanakimbizana ba mabox ya kura mchana kweupe je watashindwa kubumba data za makusanyo kweli?
CCM hii ni ngumu sana kuiamini.
Kukusanya kodi kwa kuwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara kuwafungia Account zao haikuzi uchumi ni kuua mabenk kwa kukosa imani toka kwa wateja, hakuna uchumi unakua kwa mifumo hiyo ya uonevu mtupuHii hoja ya kuongeza mishahara hii!!!!!!
Tutozane tuakabane Kodi Kisha wengine waongezewe Kila mwaka ni hoja isiyopendwa na watozwa Kodi, Nani aumie? Jamani wazeni kisasa, Bora ukuze uchumi, ili uikuze thaman shilling against US$ ili bidhaa kutoka nje zishuke Bei mziweze Bei kupitia mshahara mnayoiita haijaongezwa. Mega projects zitakapoanza kuleta impact chanya nina hakika US$ itashikwa shati isipande zaidi na pengine itaweza kushuka zaidi.
Makusanyo ya TRA kwa mifumo ya Kodi ya Sasa inawezekana na si ajabu ikaendelea kuongeza makusanyo mpaka TRA wenyewe washangae, ikumbukwe watumiaji wa EFD na electronic payment system nyingine zimeongezeka mpaka tukaanza kusema wenyewe kuwa mfumo huu Basi serikali inakusanya mno (refer malori, mtu anashangaa wakati hata maji ya chupa na soda vimeanza kufukuziwa kwa chupa? Utambuzi wa maeneo ya tozo ndio umeongezeka,
Kwani kwenye chupa moja tu ya maji ya Tsh 1,000/= VAT ni Sh ngap? ni hakika baada ya kutoa input tax haiwezi kuiathiri hiyo amount added ikiwa kila chupa itakabwa.
Atalipa kwa pesa ipi wakati hayo makusanyo hewaMbona halipi madeni ya wafanyakazi na kuwapandishia mishahara
Kukusanya kodi kwa kuwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara kuwafungia Account zao haikuzi uchumi ni kuua mabenk kwa kukosa imani toka kwa wateja, hakuna uchumi unakua kwa mifumo hiyo ya uonevu mtupu
Kukusanya kodi kwa kuwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara kuwafungia Account zao haikuzi uchumi ni kuua mabenk kwa kukosa imani toka kwa wateja, hakuna uchumi unakua kwa mifumo hiyo ya uonevu mtupu
Hivi tunaweza kuwasweka mahakamani hawa jamaa?Zitto Kabwe ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa Twitter
“Taarifa ya makusanyo ya kodi iliyotolewa na TRA leo kuwa Desemba wamekusanya shs 2T naamini ni ya kubumba.
Nachambua Taarifa za Benki Kuu za mapato kulinganisha na Taarifa ya TRA.
Nitaonyesha kwa ushahidi kuwa TRA wamedanganya Umma.”
View attachment 1664938
Soma >> TRA yavunja rekodi ya makusanyo ya mwezi Desemba