ZZK ni mtu makini sana, anajua fika kwamba nafasi pekee anayoihitaji ni uenyekiti wa chama, na kwa kutumia makundi hasimu ndani ya chama inngemuwia vigumu sana kupata nafasi hii, pia anaelewa kabisa kugombea uongozi chadema ni kujitangazia uadui maana nafasi za uongozi zina hati miliki.
NI uamuzi wa busara sana, lakini hautokani na ZZK kutopenda uongozi isipokuwa kuelewa kitakachomtokea.
It is very amazing how JF Members like other Tanzanians are losing memory quickly to this extent! This statement is not a new realese. It was posted by Zitto in his greetings to welcome the New Year 2012.
In the midst of this release, when the Party and all National attention was in Arumeru, Zitto threw another confusing stand about his aspirations to run for the 2015 Presidency. Astonishingly, today people are commenting on this stement as if it is a new message released today!
Nimeshakuambia kwenye uzi mwingine kuhusu Nassari kuwa wewe utakuwa unakanyagw... tu! Sio bure!
anarudia yaleyale ya 2007 alitangaza anaacha siasa anarudi kufundisha anaenda kufanya kazi somalia au southern sudan, hana lolote
Kwa kauli ya Zitto ni sawa na kusema ni dakika Tatu za nyongeza kipindi cha pili, CDM 4 - Magamba 0 Niwarambe, Nisiwarambe!!!Kukitumikia chama si lazima uwe kiongozi. Zitto ana PhD kwa hili
Nimemkubali Zitto kwa uamzi wake huu. Hili ni tamko lenye uzito kwake Zitto na CDM pia. Ametutoa dukuduku kwa matamko yake ya nyuma, juu ya Umri wa anayetaka kugombea urais 2015, n.k.
afadhali wewe umechangia kiukomavu kabisa naona wengine wanataka kujenga watu fulani na kubomoa wengine kwa roho ya ubinafsiwho is zitto????? Acheni upuuzi wa kutengeneza watu baadala ya taasisi. Mtu mmoja hawedzi kutukomboa. Tujenge cdm
anarudia yaleyale ya 2007 alitangaza anaacha siasa anarudi kufundisha anaenda kufanya kazi somalia au southern sudan, hana lolote
It is very amazing how JF Members like other Tanzanians are losing memory quickly to this extent! This statement is not a new realese. It was posted by Zitto in his greetings to welcome the New Year 2012.
In the midst of this release, when the Party and all National attention was in Arumeru, Zitto threw another confusing stand about his aspirations to run for the 2015 Presidency. Astonishingly, today people are commenting on this stement as if it is a new message released today!
"Nimeamua kugombea Uenyekiti wa Chadema sababu nimeona Chama kimepoteza mwelekeo na kimekuwa cha kikanda zaidi na baadhi wanajinufaishi zaidi na Chama, hivyo lengo langu ni kukifanya Chama kiwe na sura ya kitaifa tofauti na ilivyo hivi sasa ambapo chama ni cha wachache mwenyekiti ni dhaifu na chama kina makundi"
"Nimeamua kubatilisha uamuzi wangu wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA sababu nimeridhika na hali ndani ya CHAMA na nina Imani na Mwenyekiti wetu aendelee kutuongoza"
Sitagombea ubunge wa Kigoma Kaskazini mwaka 2010. Najiandaa kugombea kati ya Kahama, Kinondoni.....kwani watu wa huko wamenitumia ujumbe kuwa wananiitaji na mimi nimetuma watu wangu wafanye utafiti wa kisayansi ili niamue nikagombee wapi"
"..................Sitagombea tena Ubunge mwaka 2010 nataka nijiandae kwenda kufundisha kwani iyo ndiyo ndoto yangu ya muda mrefu"
"Nitagombea Ubunge wa Kigoma Kaskazini mwaka 2010"
".....ndiye alietoa wazo la CHADEMA kwenda kuonana na rais kuhusiana na suala la katiba mpya"......(Ufafanuzi ulitolewa kuhusiana na suala hili kuhusu kikao gani kilitoa maamuzi hayo)
The latest kauli......"Sitagombea Uongozi ndani ya CHADEMA"
Hizi ni kauli za mtu mmoja, lakini kwasabu ya mapenzi yaliyopita kiasi cha kuwezo kupofua upeo mtu katika kufikiri, mashabiki either hawazikumbuki au wamezisahau haraka sana......hapa ndipo tatizo la msingi lilipo.....
Na angethubutu kugombea tu angeundiwa TUME. Kasoma alama za nyakati. Bora awe nje ya uongozi wapange wanayoyataka.