Zitto: Siogopi kubambikiziwa uhujumu uchumi, Utakatishaji fedha (USD 2M), nakuja!

Zitto Bwana!...I can't you...unanikumbusha nikiwa mdogo kijijini natumwa kufata mahitaji ya nyumbani nyakati za usiku(kumbuka masikini hufanya manunuzi pale kitu kinapohitajika tuu, hakuna stockings).SASA Kwa uoga wangu nilikua natembea gizani Kwa kupiga miruzi au kuimba nyimbo Kwa bass ya juu kuonesha Mimi ni kidume so vibaka wasinidhuru but in actual fact nilikua ni muoga Ile mbaya kiasi kwamba ata mti ukijitingisha nagwaya.
Kwahiyo bwana Zitto huna haja ya kupiga zumali.. public sympathy hapa bongo siku hizi haifanyi KAZI.. funnily unajua ata figure (2m USD) !?...I just wish ungekuwa pia unatutaarifu mnapopewaga hizi deals na foreign agencies ili msukume interests zao..msisubiri kubanwa na Mamlaka ndo muanze kutuomba huruma zetu wakati mkinunua mahammer na ma V8 mnafunga vioo na kuweka tints tusiwabugudhi.
Duh!
Imenikumbusha mbali sana wakati nikiwa kijana mdogo!
 
JPM hawezi kufanya wrong movie,anaweza hisi labda USA wanafuatilia nyendo za Zitto akitua nchini,na hao jamaa kwa teknolojia hawashindwi!
Unakumbuka yule mwandishi wa saudia aliyeuwawa,USA walitoa mpaka footage ya mwandishi huyo akiingia ubalozini na hakuonekana kutoka!Hapo ndio Saudia ikabidi wakubali kuwa aliuwawa ubalozini!
Its a risk kumdhuru Zitto,plus na mauchawi yake basi inakuwa tabu kweli kweli!
Mungu amlinde tu
Ila daah watanzania yetu macho tu kwa kweli
 
Nimefurahishwa/kusikitishwa na hiyo aya ya English alioiweka, sasa sijui bila ya hiyo asingeeleweka? Kwa maana utafikiri yoote alioyaandika kwa Kiswahili ni ujinga mpaka hapo kwenye Kiingereza.
Mbavu, andika uliyoyaandika kwa kingereza tukuone
 
Zitto Bwana!...I can't you...unanikumbusha nikiwa mdogo kijijini natumwa kufata mahitaji ya nyumbani nyakati za usiku(kumbuka masikini hufanya manunuzi pale kitu kinapohitajika tuu, hakuna stockings).SASA Kwa uoga wangu nilikua natembea gizani Kwa kupiga miruzi au kuimba nyimbo Kwa bass ya juu kuonesha Mimi ni kidume so vibaka wasinidhuru but in actual fact nilikua ni muoga Ile mbaya kiasi kwamba ata mti ukijitingisha nagwaya.
Kwahiyo bwana Zitto huna haja ya kupiga zumali.. public sympathy hapa bongo siku hizi haifanyi KAZI.. funnily unajua ata figure (2m USD) !?...I just wish ungekuwa pia unatutaarifu mnapopewaga hizi deals na foreign agencies ili msukume interests zao..msisubiri kubanwa na Mamlaka ndo muanze kutuomba huruma zetu wakati mkinunua mahammer na ma V8 mnafunga vioo na kuweka tints tusiwabugudhi.
Haya sasa, ile mada na hoja zote zilizomo, alizoweka Zitto, eti hili ndio jibu lake!

Na watu wanamwagika kwa 'likes'; hata hawana subira ya tafakari juu yake!

God have mercy on us!
 
Haya sasa, ile mada na hoja zote zilizomo, alizoweka Zitto, eti hili ndio jibu lake!

Na watu wanamwagika kwa 'likes'; hata hawana subira ya tafakari juu yake!

God have mercy on us!
Ile nyimbo ya ''hakuna tume huru ya uchaguzi na CCM wanaiba kura'' imebadilika na kuwa ''wanataka kunizuia kushiriki kwenye uchaguzi'' (kama wanaiba kura kwa nini wahangaike kukukamata tena ili usishiriki uchaguzi?)
 
Sina hakika na hilo la kubadilika, kwa sababu sioni popote wanapokubali kwamba sasa kuna tume huru, au?

Yote si yanaweza kwenda kwa pamoja?
 
Ataongea wee mwisho atamaliza maneno yote. Alianza kusema ooh magufuli sikuogopi, hakujibiwa na mtu sasa anajaribu takukuru aone nao kama watamjibu au lah. Ukishaona mtu anatembea usiku wa maneno gizani huku anapiga kelele jua anaogopa giza. Zitto anaogopa wingu lililopo mbele yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani tuwe wakweli, chama changu cha CCM, kinafanya mambo yasio sawa penye siasa za ushindani. Hebu tujaribu kupinga uovu wowote unaotendwa viongozi wetu wa wachama pamoja na serekali ya chama chetu. Tukiendelea kutetea dhulma kwa wapinzani wetu, mwishowe tutarudiwa sisi wenyewe.

Kuna vilio vingine vya akina Zitto ni machozi ya mamba, lakini kuna mengine ni ya ukweli, tuyakemee, kuliko wapinzani wayatumie kama fimbo.

Ushindani mmoja wapo katika siasa za vyama vingi, ni kuunga mkono mazuri ya chama chako na kipinga kwa ukali na wingi wa wanachama maovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom