Ni uamuzi wa busara,Zitto ana uezo na bado mchango wake unahitajika sana ndani na nje ya bunge hasa unapoangalia nchi kama taifa na siyo nchi kwa mitazamo ya vyama vya siasa.
Huu ni moja wa mfumo wa kifisadi ulio hatari kuliko ufisadi wa pesa.Na kama jamaa ataamuwa kugombea mimi binafsi sitomtofautisha na MAFISADI hatari kabisa.
Ni umamuzi wa kipuuzi,kwani alikwisha sema anang'atuka sasa anafutaka kalui.
Kwa maoni yangu hata matamuashi yake ya leo anaweza kuyakana tena,kisha kuyafuta nk
haifai.
Ni umamuzi wa kipuuzi,kwani alikwisha sema anang'atuka sasa anafutaka kalui.
Kwa maoni yangu hata matamuashi yake ya leo anaweza kuyakana tena,kisha kuyafuta nk
haifai.
Ni lipi la kifisadi aliloliibua Zitto ambalo wengi mnadhani ni wa muhimu kiasi hicho yeye kuwepo BUNGENI? Au ni ule ubishiubishi wake wa watu wa KIGOMA kama akina KADUGUDA wa Simba?
Zitto hana lolote la ziada katika siasa! ameshajizika kisiasa. Mimi naungana na WilCard! wana jf wengi wameamua kufa nae,na hakika MTAKUFA NAE.mzimu wa dowans 'unamtafuna'.blood cash za RA zitamuondoa kabisa kabisa kwenye ramani ya siasa
zitto HANA LOLOTE LA MAANA! he is full of politics! hamna kitu kabisa,ngoja amalizie zile mil 100 za RA halafu tuone.........
wenzetu ni kina nani? inferiority complex...Mimi naona binafsi sio busara,haya mambo ndiyo yanatutofautisha na wenzetu.
poor arguement, uamuzi wa mtu binafsi upo ktk uwezo wake. Hali na mazingira hubadilika hivyo mtu anaweza kubadilika kadri anavyoona inafaa. Kama wewe huwezi kubadilika hata pale inapobidi basi unamatatizo makubwa na ninakupa pole.Nafikiri unapoamuwa kufanya kitu lazima uwe umekifanyia tafiti na kuyapa majibu sahihi na kutowa taswira njisi ya kuyakabili na hatimaye una declare itakuwa hivi.
sweeping statement(s), kama unataka kuhoji usomi wa Zitto hoji tu na utapewa majibu.Haya mambo ndiyo yamewa cost ccm na wengi wao kama sio wote kuonekana wababaishaji na hatimaye kupelekea kuanza kuhoji usomi wao ,yani ya kwamba wanatowa tu ahadi hata bila kufahamu njisi gani na namna gani ataweza angalau kuzipatia ufumbuzi ahadi zake.
Haswaaa umedhihirisha kilele cha chuki zako binafsi, udhaifu ktk kufikiri na ku-argue. Hiki ni kichekesho Mkuu, yaani Zitto kuamua kugombea ubunge ni ufisadi mbaya kuliko wa akina Kagoda, Meremeta, Tangold, EPA nk. Kweli wewe CCM damu, pole sana MkamaP.Huu ni moja wa mfumo wa kifisadi ulio hatari kuliko ufisadi wa pesa.Na kama jamaa ataamuwa kugombea mimi binafsi sitomtofautisha na MAFISADI hatari kabisa.
Wabongo hatuna zuri hata kidogo.........Zitto mbovu nani mzuri sasa?Karamagi,Rostam,Lowasa?
Mkuu wangu Zitto yupo kati ya list nzima ya wachangiaji wa JF na yupo mstari wa mbele hapa kijiweni na Bungeni.. Hivi bungeni kuna wasomi wangap na iweje Zitto akaonekana kule ashindwe leo kwa sababu wana JF wameingia...Uchache wa Wabunge wa Upinzani unawafanya watu kama Zitto waonekane wa maana na muhimu kwelikweli kama mtoto anapokuwa mmoja kwenye familia. Hebu fikirieni watu kama Mzee Mwanakijiji, FMES, Mkandara, Jasusi, Mag3, Pundit, Rwabugiri, Invisible,......orodha ni ndefu, waingie BUNGENI mwakani kwa tiketi ya upinzani, hivi kweli utamweka wapi Zito?
Mwanafalsafa1,
Mbunge ni mwanasiasa mkuu wangu kama huwezi, kuwezi hata kama ukipewa platform..kwani bungeni wako wangapi mkuu wangu..wanashindwa kipi?..Usisikie mkuu...