Zitto: Nitagombea Ubunge 2010

Mkuu wangu Zitto yupo kati ya list nzima ya wachangiaji wa JF na yupo mstari wa mbele hapa kijiweni na Bungeni.. Hivi bungeni kuna wasomi wangap na iweje Zitto akaonekana kule ashindwe leo kwa sababu wana JF wameingia...
Inabidi uelewe kwamba watu wengine hapa JF kama mimi, siwezi kusimama kugombea kitu (Ubunge), wakati naelewa wazi kwamba hakuna ushindi bila kumwaga takrima - FEZA, ili kupata utume huo..
Na kila penye fedha ni lazima utatakiwa kulipa fadhila as if ulichopewa ni zawadi kwako..Sasa hapa hata hizi hoja za JF haziwezi kufanya kazi kwani hao hao waliokufadhili ndio wao mafisadi..leo uwageuke si kutafuta kufa huko mkuu wangu!..Bora hapa hapa JF, mchango wangu kwa taifa utapatikana kupitia njia nyinginezo..
Binafsi naamini leadership ni kipaji. unakuwa na nyota, ukisimama watu wananyamaza kusikiliza.. wanapiga makofi hata kabla hujaanza kuzungumza..wanatengeneza bendera za picha yako hata kabla hawajakuona kwa macho..Zitto anacho kipaji hicho..Sasa ukaniweke mimi Bungeni si ndio yaliyonikuta Ohio mkuu, mtu kaja kaniuliza kama namjua Mkandara huku akilitazama kundi la watu niliokuwa nao..ina maana sikuwa ktk picha akilini mwake..
Mkandara,
Unajikatisha tamaa tu. Kwani Zito alihonga huko Kigoma kuupata UBUNGE? Shujaa wangu kwa Wabunge wa sasa ni Dr Slaa sio Zitto. Zitto yumo mle kimaslahi zaidi kuliko mnavyompamba humu.
 
Haya maoni ya 2010 ina maana baada ya kuchaguliwa 2005 ,2010 akadai hagombei tena .baada ya 2010 akadai hagombei tena , tuweke vichwa wazi tujifunze kutoka kwa hawa wahenga wa jf walichosema . Hii thread itasaidia vijana wetu wa facebook wasiojua asili ya haya mambo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom