Ni kweli mkuu BIGURUBE lakini huwezi jua, yanaweza kufanyika maridhiano na kusameheana lakini jamaa akawa kumbe alikuwa hamaanishi; kumbe anaendelea kutumika na Nyinyiem halafu kwenye point za mwishoni akaibua li ugomvi na mmoja wa wategemewa wakafikishana pabaya na jamaa akapoteza sifa za nafasi yake. So kama katiba ya chama imefuatwa mimi sioni tatizo.Upo sahihi kabisa Ben Saanane, kuna haja ya kufanyika maridhiano kati ya CHADEMA na Zitto, kufukuzana katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu ni hatari sana kwa pande zote!
Hakuna atakaefaidi moja kwa moja, iwe Zitto au CHADEMA, kila mmoja atapoteza kwa kiwango chake!
Yaandaliwe mazungumzo yenye lengo la kusameheana, bila kuwekeana masharti yoyote magumu...
itabaki kuwa ya Mbowe, Mnyika, Lema na Mdee kwanii Hawa ni ndugu na wapo karibu sana na Mtei
Katiba inataka mgombea Urais awe na 40 years , Zitto hatakua na umri huo come October .ni upuuzi kujadili ndoto zako
Mkuu kama ndo hivyo itakuwa hatari,LOWASA na ZITO timu moja 2015 kura zaidi ya 100% au kupita bila kupingwa.
Alisariti nini? Hivi ukihoji Matumizi mabaya ya pesa za chama ni Usariti? Kohoji ukabila na ukanda na mapungufu ya Uongozi ni Usariti? Kumbuka hata chacha Wangwe kabla ya kuuawa na akina Lema na Deus malya alikuwa akihoji sana juu ya Ufujaji wa pesa za Ruzuku na pesa za misaada, pesa yote inamalizikia mifukoni mwa mbowe na watu wake wa Karibu, Wapo watu Chadema wanaamini na kukariri kuwa Mbowe ni Mungu kila analosema linatoka Mbinguni na hasitahili kuulizwa chochote. R.I.P chacha wangwe.
Kuna nyepesi mitaa ya kwetu ati ameandaliwa kuwa mgombea mwenza wa Lowasa ili kupata kura za vijana. Labda ndo maamuzi magumu yenyewe hayo. Kugombea kama wagombea binafsi not affiliated na vyama
Maamuzi magumu ni kuomba msamaha na sio vinginevyo
ZZK kuamua kugombea uraisi wa JMT kptia chama cha ACT is a demon plan, why?? because zitto has magic political power!!! what i mean ni kwamba ZZK atadhoofsha pande zote mbili chama tawala na vyama pinzani,mathematicaly ni hiviii
40%@CCM
30%@UKAWA
25%@ACT
5%@Other parties
Now who is the winner?
Kitakachofata ni vurugu tu.Am out!!!!!!
Zitto ataingia CUF afu atasimamishwa kama mgombea urais kupitia tikiti ya UKAWA...
Either aache siasa au aombe msamaha aendelee na siasa
Suluhishana na wenzako yaishe Zito, acha kujiona una nguvu sana. Utajimaliza kisiasa, watanzania wa leo sio wa jana. Huko unakotaka kwenda ndio kuna malaika? utakumbana na matatizo yale yale mwisho utakuwa frustrated. Kubali kwamba tabia yako ime efluence matatizo unayokumbuna nayo sasa. Suruhisho ni kuomba msamaha na kisha kusonga mbela na huo ndio ukomavu sio kuzira.
Zitto ataingia CUF afu atasimamishwa kama mgombea urais kupitia tikiti ya UKAWA...