Yani roho yangu itafurahi siku ikisikia maamuzi ya zzk siyo porojo tu!
Hayo maamuzi kimsingi hayana maana tena kwani CDM walishatupa kule, anawafurahisha waha tu hana lolote.
Yani roho yangu itafurahi siku ikisikia maamuzi ya zzk siyo porojo tu!
Hatima yake ilishatoka ipo nje ya chadema kwa kuwa alishafukuzwa,labda aseme maamuzi magumu ndani ya act
Too late and too low.
Maamuzi ya nini tena wakati ameshafukuzwa CHADEMA? Kama kumwaga, CHADEMA walianza kumwaga mboga, Zitto akaendelea kusita kumwaga Ugali, CHADEMA juzi wamemwaga na ugali kabisa. Sasa hakuna msosi tena. Zitto kwisha habari yake kabisa.
Anashangaza sana huyu mtu, Atajuta kukisaliti chama.
Kigoma kaskazini anasimama MR ALEX,Kupitia atakapokuwa Zitto.Jamaa alikuwa meneger kampeni wa Zitto.kigoma mjini atakuwa MZALENDO MWENYEWE.Mpaka sasa Zitto ana uhakika wa majimbo manne KIGOMA NZIMA.Kama huamini subili octoba bt hatima ta chama chake anaijua mwenyewe bora kubakiza akiba ya MANENO.HUKO FB NDIKO KUNAKOMFAA KUTOLEA MATAMKO.. TAYARI IKO WAZI KUNA KAMANDA WA KUZALIWA KIJIJI CHA KIGANZA NI DAKTARI MATYAZO HOSPITAL ATASIMAMA KWA CDM HAPO KIGOMA KASKAZINI NI MSOMI NA MWENYE UWEZO MKUBWA SANA, ZITTO KASHAPEWA PESA NA CCM ABADILISHANE JIMBO NA MBUNGE WA SASA WA KIGOMA MJINI CCM-Peter serukamba, NA HUYO P. Serukamba NDIYE AENDE KIGOMA KASKAZINI, HALAFU BADO KUNA WATU BADO WANAAMINI ZITTO NI MPINZANI ULIWAHI IONA WAPI HIYO??.........
HUKO FB NDIKO KUNAKOMFAA KUTOLEA MATAMKO.. TAYARI IKO WAZI KUNA KAMANDA WA KUZALIWA KIJIJI CHA KIGANZA NI DAKTARI MATYAZO HOSPITAL ATASIMAMA KWA CDM HAPO KIGOMA KASKAZINI NI MSOMI NA MWENYE UWEZO MKUBWA SANA, ZITTO KASHAPEWA PESA NA CCM ABADILISHANE JIMBO NA MBUNGE WA SASA WA KIGOMA MJINI CCM-Peter serukamba, NA HUYO P. Serukamba NDIYE AENDE KIGOMA KASKAZINI, HALAFU BADO KUNA WATU BADO WANAAMINI ZITTO NI MPINZANI ULIWAHI IONA WAPI HIYO??.........
R.I.P chacha Wangwe.Upo sahihi kabisa Ben Saanane, kuna haja ya kufanyika maridhiano kati ya CHADEMA na Zitto, kufukuzana katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu ni hatari sana kwa pande zote!
Hakuna atakaefaidi moja kwa moja, iwe Zitto au CHADEMA, kila mmoja atapoteza kwa kiwango chake!
Yaandaliwe mazungumzo yenye lengo la kusameheana, bila kuwekeana masharti yoyote magumu...
Maamuzi magumu ni pamoja na kuanika Unyama wa Mbowe na Timu yake. R.I.P chacha wangwe.HUO ni ubunge anang'ang'ana na uenyekiti PAC(kitengo cha ulaji kwa kutishia watu na kuchukua mshiko mlango wa nyuma). Najiuliza ungekuwa uwaziri angefanyaje? Si angeruka ukichaa? Kama kawaida yao ataingiza udini ili kupata utetezi. Utawala bora na utawala wa sheria unataka kila mmoja kutii makubaliano. Kavunja Katiba ya CDM kwa kutafuta umaarufu binafsi.Ningeshangaa kama angefika mbali. Anagusa wapakwa mafuta wa Bwana na anategemea Mungu akae kimya. Kwa roho yake ovu amesababisha makovu na maumivu makubwa kwa wana wa Mungu pasipo hatia. Ni lazima akatubu la sivyo mkono wa Bwana uteendelea kuwa mzito juu yake. Binafsi nimemwomba Mungu amrehemu ili maamuzi magumu isije kuwa kujitoa uhai wake. He is totally confused. Mungu aponye uhai wake na mkono wake usiwe mzito kupita kiasi juu yake. Amen.
Maamuzi magumu ni kuomba msamaha na sio vinginevyo
Hakuna Uamuzi Mwingine Mgumu ambao ni makini anaopaswa kufanya zaidi ya Kuomba Radhi kwa wapenzi na wanachama wa CHADEMA na kusonga mbele
Kwenda chama Kingine itakua uamuzi mgumu lakini sio makini