Zitto: Nitafanya uamuzi mgumu

Zitto: Nitafanya uamuzi mgumu

Status
Not open for further replies.
so kwa nini yuko out kama ni juu ya wote think twice, chagadema ndio inamfanya awe hapo alipo vinginevyo angeendelea kupalula migebuka

Mkuu sijasema yuko juu ya wengine kama umecheki vizuri, ingawa ni kweli kwenye siasa kuna watu wanabebwa na vyama lakini wapo wachache wanaobeba vyama vyao. Hili la pili linategemeana na umri chamani, uwezo binafsi utendaji wako, ushiriki jimboni kwako na team yako. Mifano ipo mingi
 
Wewe bwabwaja lakini sisi wenye akili tunajua kuwa october ndio itaamua.Tutamfuata zitto popote aendako hata ikiwa ni kwa maccm.
Siyo Rorya tu Mkuu, Hata kwao Mwandiga kumenuka. Jana alilazimika kutumia mbinu za Mabwana zake CCM kuhonga Tshirt watu wa Jimboni kwake ili wamuonee huruma. Na CDM Mwanza imeendelea kung'ara katika ya kutimuliwa kwake. Jana Mwanza palikucha, tena katikati ya ziara ya Fisadi Lukuvi
 
Kama chadema ingekua inaondoa maovu basi shibuda angeondoka kabla ya zitto maana alisaliti tangu sikubya kwanza alipohudhuria kuapishwa kwa JK.zitto n tishio kwa nafasi ya mbowe kama mwenyekiti.undugu,uchaga na ukatoliki ndo umemuondoa zitto CDM

Wewe acha bangi ngedere wewe
 
Achana nao hao prochadema wanajitoa ufaham kwa chuki zao tu
Mkuu kuwa mkweli zitto ni miongoni mwa top 3 ya chagadema walioifikisha hapo ilipo, of course padri anaongoza na mwisho born town mbowe. Kumbuka anatuhumiwa kuwa msaliti but no evidence
 
Daktari wako wa kichaa akiona comments zako lazima ataomba uangalizi toka kwa ndugu zako
so kwa nini yuko out kama ni juu ya wote think twice, chagadema ndio inamfanya awe hapo alipo vinginevyo angeendelea kupalula migebuka
 
Mlibwabwaja sana kipindi kile mlipomfukuza akaenda mahakamni nakusema ndio mwisho wake,lakini jemedari aliendelea kung'aa mpaka kesho.Na bado.
Zitto kwisha habari yake.
 
sasau mtu ameshajifukuzisha chamani, then unasema utafanya maamuzi magumu.. juzi aliwaponda ukawa, hapa maamuzi magumu labda ni kujinyonga tu, maana hawezi kwenda vyama vya washirika, ukienda ccm watu hawatashanga kwa tabia zako za kinafiki nafiki tu... ACT hatutashangaa maana wewe ndiye ulikianzisha huku bado ukiwa chadema, sasa maamuzi magumu magumu, yapia bwana mdogo?? unalia lia kama motto...........
Zitto amekaririwa na gazeti la Mtanzania la leo Jumamosi ya tarehe 14/03/2015 akisema kuwa atachukua uamuzi mgumu kuhusu hatima yake ndani ya CHADEMA.
====================



Chanzo:Mtanzania
 
Mahaba niuawe yatawaliza team ya msaliti Zitto

Mkuu zingatia ushauri maana unaweza ukaamka kesho unamdis mbo.we au lissu. Kila binadamu ana strengths na weakness zake but in dealing with common interest or goal u mold each other ili mfikie lengo.
 
commited zitto alishasema atakuwa wa mwisho kuondoka chagadema, so uamuzi mgumu still utajikita hapo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu heshima kwako, huyu jamaa anashangaza sana, kila sikua analia lia kama mtoto..hapo msishangae kesho akaanza sema nasakamwa coz maza kafa as if yeye ndiye wa kwanza kufa. Kuna maamuzi magumu gani atafanya watu washangae, ya kwenda act?? Watu hatuwezi shangaa maana ni kazi ya mikono yake alikitengeneza tangu akiawa chadema?? Ya kwenda ccm?? Hatutashangaa pia maana tabia zake za kinafiki nafiki ziko ccm tu, maamuzi magumu labda ya kuacha siasa au kujinyonga tu... Si aliaminishwa yeye ni mkubwa kuliko chama sasa analilia nini?? Yaani ukipeleke chama mahakamani, huku ukijua ni kosa then ushindwe kesi udai unataka barua ya kufukuzwa rasmi,.. Ahaaaa haka ni kapuuzi tu... Kuna watu wanampa kichwaaa eti ni mashuhuri.,.. Mashuhuri hata 2010 hakupata 50% ya kura jimboni kwake, hata madiwani 10 hana jimboni kwake, kigoma nzima chadema inambunge mmoja tu, huo umashuhuri wake ni upi labda wa usaliti.... Jimbo lake maji shida,umeme hakuna, shule ziko hoi bin taabani... Aende anakoenda si alisema anaenda kufundisha... Watu wa dizaini hizi ni wa kuwaacha tu wajifie kama ndugu yake kabouuru nyange waridi.............
uamuzi gani mgumu kwa wakati huu? Angefanya kabla ya kutimuliwa cdm.
Hata yule fisadi no 1 husemekana mtu mwenye maamuzi magumu. Maamuzi gani hayo? Ya kuwaibia watanzania?
 
Mkuu, nakubaliana na wazo la kusameheana kati ya Zitto an CHADEMA, ila tatizo langu ni je wataaminiana??

Hakuna mwanasiasa yeyote anaemuamini mwanasiasa mwenzake hata siku moja🙄

Angalia kinachoendela kati ya wale Boys II Men...na walishasema wao urafiki wao haukuanzia barabarani!

Leo hii wamegeukana:sly:
 
Hata kuwa fisadi ni maamuzi magumu maana cyo kila MTU anaweza kuwa fisadi
 
Hakuna Uamuzi Mwingine Mgumu ambao ni makini anaopaswa kufanya zaidi ya Kuomba Radhi kwa wapenzi na wanachama wa CHADEMA na kusonga mbele

Kwenda chama Kingine itakua uamuzi mgumu lakini sio makini

Una akili sana Ben saanane. Siyo kila maamuzi magumu ni makini
 
Huyu maji ya shingo yamemfika shingoni kwa kweli ndo maana anatafuta pa kushikilia ni full shida
 
Sasa basi huo si uamuzi mgumu huo ni ubishi.. Mkuu kama unafanya kazi kampuni x na ukaona mambo hayaendi unafanyaje?? Unalilia lia tu huku unaskills na uzoefu wa kutosha?? Ni ujinga tu kumuamini huyu.. 2010 alipata kura chini ya 50% jimboni kwake, hata madiwani 10 hana jimboni kwake kigoma nzima mbunge kwa cdm ni yeye tu, hakuna mission aliwahi kuarchieve, si mabilioni ya uswisi wala si buzwagi...huyu anajidanganya na ndio anakufa kama ndugu yanke nyange kabouuru... Atawadanganya wasio mjua mimi nipo kigoma hapa kikazi naelewa sana wakati mgumu alaonao huyu jamaa.. Baada ya kuazsisha mizozo na cdm hapa kigoma watu wamemtoa thamani kabisa, watu wamezidi kujitolea kufungua vijiwe vya cdm kwa gharama zao na kukisapoti chama....
commited zitto alishasema atakuwa wa mwisho kuondoka chagadema, so uamuzi mgumu still utajikita hapo
 
Sasa basi huo si uamuzi mgumu huo ni ubishi.. Mkuu kama unafanya kazi kampuni x na ukaona mambo hayaendi unafanyaje?? Unalilia lia tu huku unaskills na uzoefu wa kutosha?? Ni ujinga tu kumuamini huyu.. 2010 alipata kura chini ya 50% jimboni kwake, hata madiwani 10 hana jimboni kwake kigoma nzima mbunge kwa cdm ni yeye tu, hakuna mission aliwahi kuarchieve, si mabilioni ya uswisi wala si buzwagi...huyu anajidanganya na ndio anakufa kama ndugu yanke nyange kabouuru... Atawadanganya wasio mjua mimi nipo kigoma hapa kikazi naelewa sana wakati mgumu alaonao huyu jamaa.. Baada ya kuazsisha mizozo na cdm hapa kigoma watu wamemtoa thamani kabisa, watu wamezidi kujitolea kufungua vijiwe vya cdm kwa gharama zao na kukisapoti chama....

Sawa mkuu naona umeamua kujitoa fahamu, kama hakuna alichoachie how comes chama kikampa NKM
 
Kuna nyepesi mitaa ya kwetu ati ameandaliwa kuwa mgombea mwenza wa Lowasa ili kupata kura za vijana. Labda ndo maamuzi magumu yenyewe hayo. Kugombea kama wagombea binafsi not affiliated na vyama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom