Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,169
- 162,605
- Thread starter
- #361
Tunasubiri tetesi nyingine tena.
Hiyo ndo ilivyo kutoka kwa watu wa karibu wa kijana huyo alieipenda CHADEMA enzi hizo na kuing'ang'ania CHADEMA kwa sasa ili apate kiinua mgongo cha bunge. ACT mtaisoma no.
CCM tupo imara hatuteteleki
Upo sahihi kabisa Ben Saanane, kuna haja ya kufanyika maridhiano kati ya CHADEMA na Zitto, kufukuzana katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu ni hatari sana kwa pande zote!
Hakuna atakaefaidi moja kwa moja, iwe Zitto au CHADEMA, kila mmoja atapoteza kwa kiwango chake!
Yaandaliwe mazungumzo yenye lengo la kusameheana, bila kuwekeana masharti yoyote magumu...
Zitto usiachie jimbo. Pambana urudi Bungeni. Vi ginevyo umejimaliza kisiasa. Chama ni behewa tu na yako mengi yanakisubiria.
upo sahihi mkuu.Mkuu inasemekana kuwa kuna watu waliwai ku-initiate mazungumzo kati ya CHADEMA na Zitto ila cha kushangaza jamaa akaja na masharti lukuki. Mojawapo ni kuwa yeye anadhani kuwa hana kosa, na kwa hiyo Chama ndio kimuombe radhi. Mimi ni kati ya watu wanaomkubali sana Zitto, ila nadhani ni mtu mwenye UBINAFSI au anayedhani yeye kuwa ni bora kuliko wengine, na ya kwamba yeye ni a perfect person. Na anachotaka kukifanya kwa wana-Kigoma ni kuwaaminisha kuwa YEYE ndio icon ya Kigoma, na kwahiyo ukimgusa yeye umegusa Kigoma. Mbona Kafulila alifukuzwa NCCR-Mageuzi na akugeuza mgogoro wake kuwa ni kati ya watu wa Kigoma na NCCR-Mageuzi? Na mbona Kafulila walimaliza mgogoro wao bila masharti? Kwanini iwe kwa Zitto?
uskonde, una haki kikatiba kuamini unachoamini alimradi tu huvunji sheria. hata ukitaka kuamini mbuyu unaweza kugeuka kuwa mchicha wewe amini tu mradi hujavunja sheria yoyote ya nchiBen ndugu yangu. Ushabiki ukizidi unaharibu radha ya "ushindi". Bahati mbaya kwa uwezo wa fikra zako huoni ni jambo gani Zitto anaweza kufanya zaidi ya kuomba msamaha. Sina shaka na uwezo wa Zitto Kabwe kisiasa, lakini nina shaka sana na uwezo wako kisiasa.
afadhali CDM wao hawakumkolimba zito.ingekuwa ni ccm zito anawaletea hizo siasa uchwara wangeshamzito zamani sana.Zitto usiwalambe miguu hao wafalme,chagua chama kingine uhamie.Waachie chama chao kilichojaa jazba,undugu,ukabila,chuki binafsi,roho mbaya na kutokupenda mawazo tofauti.