ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,967
Maamuzi magumu ni kuanika Unyama woote wa Mbowe na washirika wake wa karibu, yaani Lema, Mnyika, Mrema, Kilewo na Deus Mallya jinsi wanavyoendesha Umafia ndani ya chama na hawapendi makabila mengine lakini wameamua kuweka kabla zingine mmoja mmoja kama akina Lisu, Marando, slaa na Rwakatare ili kuwahadaa watu na kuzuga kuwa ni chama cha makabila yote, Moyoni na Ukweli Chadema ni saccos ya Mtei na Mbowe ndiyo maana Mtu akihoji chochote lazima afukuzwe au kuuawa kama chacha wangwe.
Kweli we funza hujakosea ulichoandika ni kifunza funza tu