Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,567
- 12,206
Zitto anataka umaarufu wakulazimisha.Ametolewa uanachama badala ya kuomba msamaha kwausaliti ulioufanya,anataka kujijengea umaarufu wa kujifananisha na watu walio fukuzwa kwenye vyama vyao na kuongoza vyama vingine vipya walivyoviunda kama kina Malema.Zitto utapotea kwenye siasa na kusahaulika.Kafulilia alilitambua hilo,akatoa chozi kwa mwenyekiti wake akasamehewa.Zitto kiburi cha nini?