Zitto: Nitafanya uamuzi mgumu

Zitto: Nitafanya uamuzi mgumu

Status
Not open for further replies.
Haya ndiyo matatizo ya watanzania mara hii tayari neno ngumu limeshakuwa jambo la kawaida. Nini maana ya kitu/jambo ngumu ?

Tumesikia kila mara akitamka kufanya maamuzi magumu!

Sasa tuje kwenye issue ya Zitto,kama ulivyodokeza hiyo moja ya maamuzi magumu yaliyobaki kwa Mhe,lakini pia anachaguo lingine kwenye orodha ya maamuzi magumu kwamba Siasa ndiyo basi/mwisho.

akiacha siasa, itakuwacimeleta jibu zuri, na atakuwavametenda haki kwa chama, ns Watanzania
 
HUO ni ubunge anang'ang'ana na uenyekiti PAC(kitengo cha ulaji kwa kutishia watu na kuchukua mshiko mlango wa nyuma). Najiuliza ungekuwa uwaziri angefanyaje? Si angeruka ukichaa? Kama kawaida yao ataingiza udini ili kupata utetezi. Utawala bora na utawala wa sheria unataka kila mmoja kutii makubaliano. Kavunja Katiba ya CDM kwa kutafuta umaarufu binafsi.Ningeshangaa kama angefika mbali. Anagusa wapakwa mafuta wa Bwana na anategemea Mungu akae kimya. Kwa roho yake ovu amesababisha makovu na maumivu makubwa kwa wana wa Mungu pasipo hatia. Ni lazima akatubu la sivyo mkono wa Bwana uteendelea kuwa mzito juu yake. Binafsi nimemwomba Mungu amrehemu ili maamuzi magumu isije kuwa kujitoa uhai wake. He is totally confused. Mungu aponye uhai wake na mkono wake usiwe mzito kupita kiasi juu yake. Amen.
 
Anasubiri na akina mzee Arfi ajiweke sawa watoke wote ili ile dhana ya "Chama cha Wakristo" iweze kutimia!

Ujinga uliopitiliza, hivi chadema wasio wakristo ni Zitto na Arfi tu? hivi wewe ndio ulikuwa moderator wa JF mtupu hivi? jamaa waliona mbali sana kukufurusha
 
HUO ni ubunge anang'ang'ana na uenyekiti PAC(kitengo cha ulaji kwa kutishia watu na kuchukua mshiko mlango wa nyuma). Najiuliza ungekuwa uwaziri angefanyaje? Si angeruka ukichaa? Kama kawaida yao ataingiza udini ili kupata utetezi. Utawala bora na utawala wa sheria unataka kila mmoja kutii makubaliano. Kavunja Katiba ya CDM kwa kutafuta umaarufu binafsi.Ningeshangaa kama angefika mbali. Anagusa wapakwa mafuta wa Bwana na anategemea Mungu akae kimya. Kwa roho yake ovu amesababisha makovu na maumivu makubwa kwa wana wa Mungu pasipo hatia. Ni lazima akatubu la sivyo mkono wa Bwana uteendelea kuwa mzito juu yake. Binafsi nimemwomba Mungu amrehemu ili maamuzi magumu isije kuwa kujitoa uhai wake. He is totally confused. Mungu aponye uhai wake na mkono wake usiwe mzito kupita kiasi juu yake. Amen.
 
attachment.php
 
Attachments

  • zitto twitte,r.jpg
    zitto twitte,r.jpg
    12 KB · Views: 2,635
HUO ni ubunge anang'ang'ana na uenyekiti PAC(kitengo cha ulaji kwa kutishia watu na kuchukua mshiko mlango wa nyuma). Najiuliza ungekuwa uwaziri angefanyaje? Si angeruka ukichaa? Kama kawaida yao ataingiza udini ili kupata utetezi. Utawala bora na utawala wa sheria unataka kila mmoja kutii makubaliano. Kavunja Katiba ya CDM kwa kutafuta umaarufu binafsi.Ningeshangaa kama angefika mbali. Anagusa wapakwa mafuta wa Bwana na anategemea Mungu akae kimya. Kwa roho yake ovu amesababisha makovu na maumivu makubwa kwa wana wa Mungu pasipo hatia. Ni lazima akatubu la sivyo mkono wa Bwana uteendelea kuwa mzito juu yake. Binafsi nimemwomba Mungu amrehemu ili maamuzi magumu isije kuwa kujitoa uhai wake. He is totally confused. Mungu aponye uhai wake na mkono wake usiwe mzito kupita kiasi juu yake. Amen.

ameeeeee
 
akiacha siasa, itakuwacimeleta jibu zuri, na atakuwavametenda haki kwa chama, ns Watanzania

Na hiyo ndiyo maamuzi magumu kwa Mhe.hata kama ni kwa muda!
Kama anawashauri wazuri ,kuna namna bora la kumaliza jambo hili-kiutuuzima na mbele ya safari mhusika akawa na afya njema akili ya kufikiri na kufanya maamuzi.

Akapige goti kwa Slaa au asahau kuwa mtamu kama Mcharo. Aishie kujinyonga.
 
Unafikiri chadema kina upuuzi wa kulea maovu? Me ningekuwa wewe siasa ningeacha nikafanye uvuvi
 
....chadema msikubali wala kurudi nyuma,onyesheni chadema ni taasisi.Hivyo mtu kama Zito ahangaike na sheria na kanuni za chama.Kama kuna sheria ya chama inayomhukumu basi lazima ahitii.
 
ni kweli huyo saanane yumo ktk mkumbo lkn haitiliwi uzito why?

[Ben Saanane 08:49 Today

Hakuna Uamuzi Mwingine Mgumu ambao ni makini anaopaswa kufanya zaidi ya Kuomba Radhi kwa wapenzi na wanachama wa CHADEMA na kusonga mbele

Kwenda chama Kingine itakua uamuzi mgumu lakini sio makini]

Yeye alifanya hivi na ndio maamuzi magumu alio chukua soma upya ule waraka utakuta alijing'atua katikati ya safari
 
Huyu jamaa ana tapatapa,sasa ukisema wazee wame kushauri ndio unadhani uta mtishia nani?
 
Kila siku .. Kila siku.. "Nitafanya nitafanya..'" Unadhani maamuzi Magumu MCHEZO..!

1: ukiamua kujitoa CDM.. Utaendapi... ?!,. ADC?!? Ambao wameanza kutimuana, Ccm ishawatupia kipande Cha mfupa wamechakazana majuzi, utakuja TADEA!?, CUF?!(UKAWA).. Au utaendapi Mwenye muchknow Wetu..

2: utang'angania Bunge limkingie kifua .. Lakini Ndo kweishney .. Unajua watu wengi njaa zinatusumbua.. Kila Mtu ana njaa Yake.. Kiongozi njaa kila siku maslahi Yake atayatanguliza..

Wote njaa zinawasumbua sio zito pekee yake, umesahau kafulila alitimuliwa na Nccr ya Mbatia, akaenda mahakaman wiki iliyofuata Mbatia akateuliwa mbunge na Rais akasahau ya Kafulila had leo
 
Hakuna Uamuzi Mwingine Mgumu ambao ni makini anaopaswa kufanya zaidi ya Kuomba Radhi kwa wapenzi na wanachama wa CHADEMA na kusonga mbele

Kwenda chama Kingine itakua uamuzi mgumu lakini sio makini
Hata akiomba msamaha kuna mawili kukubaliwa ama kukataliwa, akikubaliwa lazima afuate masharti yote ya kuomba uanachama upya kwenye tawi lake la msingi kwa sababu hadi sasa Zitto sio mwanachama wa Chadema, ref. katiba ya Chadema ibara ya 8.
 
....Zito usiache mapessa yote hayo,wewe mchinga nini,Hiyo ACT yako hata mmbunge shida kuipata
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom