Zitto: Nitafanya uamuzi mgumu

Zitto: Nitafanya uamuzi mgumu

Status
Not open for further replies.
Nitafurahi sana kama zitto atojitoa rasmi kwenye kile chama haram cdm na ajiunge na chama chochote nitamuunga mkono
 
Moyo humsukuma mtu kuomba radhi endapo atakuwaa kweli amekosa na si kinyme chake.Kwa misukosuko aliyoipata Zitto na kwa mapenz aliyokuwa nayo ndani ya cdm naamini kama kweli alikosea bila kuwa na sababu ya mcngi angeomba msamaha
Hivi huyu jamaa akiomba radhi chama atapungukiwa nini? Aisee
 
"Mfa maji haishi kutapatapa" ACT ipo aende na tunamtakia heri ya kuwatoa ccm madarakani teh teh!
Kupokewa!walipokewa wakina mboga za m 10,joka la makengeza etc sembuse yeye!MATANZANIA NDO MAJITU YENYE IQ NDOGO DUNIANI,NDO MAANA YANAAMBIWA "PIGA TU"

Leo unawatukana watanzania? kisa kumpokea kiongozi wao aliyeshiriki kikamilifu kuibadilisha kigoma?. The same people ulikuwa unawatukuza kwa kuunga mkono upinzani juzi. Be considerate
 
Usaliti kwa wenyeji wa huko ni kawaida na wote uwa wanapata mapokezi makubwa na baadae wanapotea kiaina,ref Dr Khalid Kabouru,Nswazigwanko,and now Zito
 
ufisadi gani ameibua zito?

Au mnadhani ripoti za CAG ni ripoti zake

Mkuu kuwa mkweli zitto ni miongoni mwa top 3 ya chagadema walioifikisha hapo ilipo, of course padri anaongoza na mwisho born town mbowe. Kumbuka anatuhumiwa kuwa msaliti but no evidence
 
Upo sahihi kabisa Ben Saanane, kuna haja ya kufanyika maridhiano kati ya CHADEMA na Zitto, kufukuzana katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu ni hatari sana kwa pande zote!

Hakuna atakaefaidi moja kwa moja, iwe Zitto au CHADEMA, kila mmoja atapoteza kwa kiwango chake!

Yaandaliwe mazungumzo yenye lengo la kusameheana, bila kuwekeana masharti yoyote magumu...

It's too late for that. Walikuwa na muda wa kutosha kufanya hivyo lakini hawakufanya. Zitto angekuwa na busara alitakiwa kufanya muufaka mapema kitu ambacho hakufanya kwa sababu ya Kiburi.
Watu wengi wanadai kuwa Zitto ana akili sana kuliko wana chadema wote. Hiyo inawezekana lakini alichokosa Zitto ni busara. Ametoa mifano ya kujilinganisha na Waziri Mkuu wa Malaysia na Hamad, kitu ambacho hajakiona their situations were different from his. Hakuna Mahali, na haijawahi kutokea taasisi ikamuomba msamaha an individual. Zitto angekuwa na busara angelijua hilo. Ametumia akili bila maarifa!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu, nakubaliana na wazo la kusameheana kati ya Zitto an CHADEMA, ila tatizo langu ni je wataaminiana??
 
Hakuna Uamuzi Mwingine Mgumu ambao ni makini anaopaswa kufanya zaidi ya Kuomba Radhi kwa wapenzi na wanachama wa CHADEMA na kusonga mbele

Kwenda chama Kingine itakua uamuzi mgumu lakini sio makini
Kwa usaliti alioufanya ni damage kubwa sana kwa CDM, amefanya kazi maalum na ccm ya kuiua CDM kwa malipo!
Mtu kama huyu unaweza ukamrudisha chamani kweli,,? hata Mungu ataona hamko serious na mpango wake wa Ukombozi toka kwa mkoloni mweusi.
Anaweza akasamehewa uovu wake huo, ila akiwa nje ya CDM.
Mkuu naona unamtetea, ukumbuke group lake ni la watu 13, na wote walikuwa wanapata mgao wa ccm, viporo vya kushughulikia bado vipo!
 
Mkuu kuwa mkweli zitto ni miongoni mwa top 3 ya chagadema walioifikisha hapo ilipo, of course padri anaongoza na mwisho born town mbowe. Kumbuka anatuhumiwa kuwa msaliti but no evidence
so kwa nini yuko out kama ni juu ya wote think twice, chagadema ndio inamfanya awe hapo alipo vinginevyo angeendelea kupalula migebuka
 
Upo sahihi kabisa Ben Saanane, kuna haja ya kufanyika maridhiano kati ya CHADEMA na Zitto, kufukuzana katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu ni hatari sana kwa pande zote!

Hakuna atakaefaidi moja kwa moja, iwe Zitto au CHADEMA, kila mmoja atapoteza kwa kiwango chake!

Yaandaliwe mazungumzo yenye lengo la kusameheana, bila kuwekeana masharti yoyote magumu...

Acha aende zake, kwanza chadema imefanya vizuri sana toka Zitto ajiweke kando.Chukulia uchaguzi wa serikali za mtaa, ni jimboni kwake tu ndiyo chadema imefanya vibaya sasa jiulize yeye wakati wa uchaguzi huo alipigia kampeni chama gani? Kama kweli ni mwanachama wa chadema kwanini act imeanza kuweka mizizi jimboni kwake tu na si Kigoma mjini? Hapo ndiyo utajua ni msaliti toka siku nyingi, kujiona wewe ni zaidi ya chama. Sasa aibu yake toka akae nje ya chadema na uanachama wake kushikiliwa na mahakama,chadema imezidi kufanya vizuri. Aende kwenye chama chake hicho alichokianzisha ndani ya chama lakini asitegemee kuna urahisi wowote kukijenga. Ubunge wenyewe kaupata ni kwasababu tu ccm walimtosa mgombea wao kwa kutofanya kampeni jimbo la Zitto. Waliopata ubunge kwa ushindani mkubwa ni Kafulila, Machali,Mkosamali na Buyogera na sio Zitto aliyeachiwa na ccm.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna Uamuzi Mwingine Mgumu ambao ni makini anaopaswa kufanya zaidi ya Kuomba Radhi kwa wapenzi na wanachama wa CHADEMA na kusonga mbele

Kwenda chama Kingine itakua uamuzi mgumu lakini sio makini
Zitto, aombe msamaha kwa kosa gani.
 
Unatuandaa ama unatutsha unajua kila ufanyacho ni madhara kwako nafc ikuhukum kabla hujataka kuonewa hurma
 
It's too late for that. Walikuwa na muda wa kutosha kufanya hivyo lakini hawakufanya. Zitto angekuwa na busara alitakiwa kufanya muufaka mapema kitu ambacho hakufanya kwa sababu ya Kiburi.
Watu wengi wanadai kuwa Zitto ana akili sana kuliko wana chadema wote. Hiyo inawezekana lakini alichokosa Zitto ni busara. Ametoa mifano ya kujilinganisha na Waziri Mkuu wa Malaysia na Hamad, kitu ambacho hajakiona their situations were different from his. Hakuna Mahali, na haijawahi kutokea taasisi ikamuomba msamaha an individual. Zitto angekuwa na busara angelijua hilo. Ametumia akili bila maarifa!
unaweza sema yote lakini zitto hawezi kuwa na akili kuliko wote chadema its an insult he is just a mare individual
 
Kama chadema ingekua inaondoa maovu basi shibuda angeondoka kabla ya zitto maana alisaliti tangu sikubya kwanza alipohudhuria kuapishwa kwa JK.zitto n tishio kwa nafasi ya mbowe kama mwenyekiti.undugu,uchaga na ukatoliki ndo umemuondoa zitto CDM

Kwani mbowe ni mkatoliki?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom